Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

Tangu mkoloni aondoke Tanzania, Mtanzania anaishi varuvaru tu bila mpangilio wowote ule.

Dar es salaam ni Slum, watu wanazaliana na kuishi kama mapanya.

Hovyo hovyo, vululu-valala.
nawaza usikute south africa imeendelea sana kwasababu mandela aliamua kuwasamehe wazungu na kuendelea kuishi nao
 
Hizo picha naona palikua kawaida tu aisee juzi nilirudia movie na NERIA ile nchi gani sjui waliigiza asee kuna shot zinaonesha mji mzuri urban kabisa na barabara za njia nyingi kama ya mfugale enzi hizoo
Zimbabwe ile Rhodesia ya wazungu ambao Mugabe alitimua akawapa mapoti wake wasimamie plantations wakafeli vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…