baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
1. Freddie mercury wa Band ya Queen mwanamuziki ambaye anatajwa level moja na Michael Jackson amezaliwa Zanzibar,Watu gani hao mkuu hebu wataje hapa. Au ni siri na wewe hautaki kuwataja?
2. Kuna jamaa jina Nimemsahau ila kama kumbukumbu zipo sahihi ni Katika inventor wa Commodore, moja ya Computer ya mwanzo kabisa Duniani yupo level za kina Steve Jobs na Bill gate alikuwa ni Ismailia Tanga, kasoma Usagara sekondari
Sina muda sasa hivi ntakutaftia page ya Ismailia wame document wote hawa.