Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

Dar es Salaam ya mwaka 1975 ilikuwa nzuri sana!

Hizo ni picha tu Tanzania ya mchongameno akiwa madarakani ilikua ni jahanam hata ukimiliki baiskeli unakamatwa kuhojiwa, Mungu amlaani mchongameno.
Huo ni uongo, wakati wa mchongameno alikuwa anahitaji uthibitishe mali zako umezipataje na kama unavyojua matajiri wengi wa Africa huwa wanapata pesa kupitia dili za mchongo za serikali pamoja na kukwepa kodi hapo ndipo ugomvi wa mchongameno ulipokuwa.
 
Mchongameno alileta ufukara watu walivaa hadi magunia
 
Hiyo ndio ilikuwa Dar au Tz kwa ujumla
Nakumbuka mwaka 86 nilishuka Dar nikaenda Embassy Hotel nililala siku 3
Nikiwa nimebarizi pale akaingia mdada kavaa sketi fupi na mshkaji wake
Alitimuliwa na uongozi kwa kuvaa nusu uchi
Maadili yalikiwepo sana
Maadali Gani , AU ni udini na ushamba Tu, embassy Hotel imebaki kama pagale Tu 😂.
 
Back
Top Bottom