baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
1. Freddie mercury wa Band ya Queen mwanamuziki ambaye anatajwa level moja na Michael Jackson amezaliwa Zanzibar,Watu gani hao mkuu hebu wataje hapa. Au ni siri na wewe hautaki kuwataja?
Huyu mbona wanasema alikuwa wa dini ya Pasri wale Zoroastrian?1. Freddie mercury wa Band ya Queen mwanamuziki ambaye anatajwa level moja na Michael Jackson amezaliwa Zanzibar
Uongo
Uongo
Sababu wa Iran wengi walikuwepo Znz. Hio ni dini ya Iran.Huyu mbona wanasema alikuwa wa dini ya Pasri wale Zoroastrian?
Freddie Mercury’s family faith: The ancient religion of Zoroastrianism
Born Farrokh Bulsara, Mercury came from a Parsi family that practiced Zoroastrianism, a religion that influenced Judaism, Christianity and Islam.theconversation.com
Ilikua kisutu kwerikweri.
Mjerumani je?Hayo majengo yalikua ni ya wazawa wala sio wakoloni, mlaumu Nyerere aliyoyataifisha, Waingereza hawaja invest chochote cha Maana Tanzania maana wao walikuwa ni kama caretaker tu.
Hilo pagala leo, enzi hizo ilikuwa 5 star 😄Maadali Gani , AU ni udini na ushamba Tu, embassy Hotel imebaki kama pagale Tu 😂.
mjerumani ali invest ila kwenye miundombinu ambayo ilisaidia kutoa rasilimali Tanzania kwenda ujerumani, Majengo makali ya kijerumani utayapata kwenye mikonge, chai, kahawa etc mostly siku hizi yanaitwa Boma. ila sio hayo maghorofa ya mjini. kwanza maghorofa mengi ya mjini umri wake ni miaka 60-80 wakati ambao mjerumani alishaondoka.Mjerumani je?
Mbona sioni hijabu hapo kwa hao wanafunzi?
Mwaka 1975 CCM/TANU haikuwepo?Yote yameletwa na CCM kipind icho kilikuwa hakipo
Hizi piss zote ukute hapa bado zilikuwa na manaironi.
Hapo mtaa wa uhuru ama kichwele zamani,taxi peogeout 4×4 mfaransa kituo cha mafuta total kipo Hadi leo, mtaa wa uhuru Swahili na nyamwezi str.
Haibii watu,anaibia ng'ombe wenye miguu miwili
Sasa hivi ndio kuna mang'ombe yaliyokimbia minadani yanachinjwa hapo na yule Bwana fulani rafiki yake na dabTanganyika PackersView attachment 3081291ckers
Ile ni zimbabwe sio bongoHizo picha naona palikua kawaida tu aisee juzi nilirudia movie na NERIA ile nchi gani sjui waliigiza asee kuna shot zinaonesha mji mzuri urban kabisa na barabara za njia nyingi kama ya mfugale enzi hizoo
Ongeza nyamaEnzi hizo morogoro siku tatu, kigoma wiki, TV anayo nyerere, redio kwa mjumbe, ukivaa shati zuri kesi umelipata wapi, mleta uzi usidanganyike na hizo picha wala stori, tulipotoka ni hovyo kabisa walau tulipo sasa tunaishi kama wanadamu