Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
utaogeshwa kwa matusi ya nguoni na vijana wa Lumumba buku 7.Tuwekewe sawa jamani hiyo figure ya 400 Billion inafikiwaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utaogeshwa kwa matusi ya nguoni na vijana wa Lumumba buku 7.Tuwekewe sawa jamani hiyo figure ya 400 Billion inafikiwaje?
Mnatapatapa sana. Mradi umeanza kujengwa 2016 na serikali inayoongozwa na jpm.jpm alikua na uwezo wa kupiga chini mipango yote ya jk lkn hana upumbavu ambao mnauonesha humu.Kama kaachana na mradi wa gesi na kaingia wa maji alishindwa nn kuachana na flyover?Huu mradi ulikuwa wa Jk sijui anazindua nini hajui hata pesa za huu mradi zimetoka wapi . mwambieni huyo kichaa leo hatutaki mipasho
Tuambie kwanza contract imesainiwa mwaka gani? Kupiga chini maana yake kuvunja mkataba au una maana nyingine?Mnatapatapa sana. Mradi umeanza kujengwa 2016 na serikali inayoongozwa na jpm.jpm alikua na uwezo wa kupiga chini mipango yote ya jk lkn hana upumbavu ambao mnauonesha humu.Kama kaachana na mradi wa gesi na kaingia wa maji alishindwa nn kuachana na flyover?
Hawa ni kuwaacha tu kwani siku wakifikia ukingoni watayakumbuka haya kwa aibu, na ndio maana kuna wengine hawataki ule usemi '' Kwa hisani ya watu wa Marekani'' kwasababu fix kama hizi itawawia ngumu kutuambia ule usemi pendwa '' Pesa zetu za ndani''Makonda anamdanganya Rais huku nikiamini Rais anaunuwa ukweli.
Mimi ni mdau wa kiwalani mradi wa miundombinu unaoendelea kata mbili za kiwalani ni mradi wa DMDP na unafadhirwa na bank ya dunia na mradi huu ulipatikana wakati wa Jakaya Kikwete na mimi mjumbe pia wa kamati.
Ifike wakati nchi isiendeshwe kilaghai matokeo ya ulaghai itatokea utasema jambo la ukweli lakini utapuuzwa kwa sababu umezoea ubabaishaji.
Mfano TMA walituambia jana na lei ukanda wa pwani utakuwa na mvuwa kubwa itakayosababisha mafuriko lakini mpaka dakika hii Dar iko dry kabisa, wahuni kama next time watatowa tahadhari ya ukweli lakini watapuuzwa.
Umeongea point nzuri inayotueleza maamuzi ya kitaifa yapo juu ya nani. Sasa kama mchezo ndo huu sijui anayekuja ataachana na mipango ipi ya JPM! Maana ni maamuzi tu.Mnatapatapa sana. Mradi umeanza kujengwa 2016 na serikali inayoongozwa na jpm.jpm alikua na uwezo wa kupiga chini mipango yote ya jk lkn hana upumbavu ambao mnauonesha humu.Kama kaachana na mradi wa gesi na kaingia wa maji alishindwa nn kuachana na flyover?
Una uwezo kidogo wa kujua mikataba jinsi inavyotekelezwa..??Mnatapatapa sana. Mradi umeanza kujengwa 2016 na serikali inayoongozwa na jpm.jpm alikua na uwezo wa kupiga chini mipango yote ya jk lkn hana upumbavu ambao mnauonesha humu.Kama kaachana na mradi wa gesi na kaingia wa maji alishindwa nn kuachana na flyover?
Yaani aisee, hasa huyu shekhe wa DarTuna mapashikuna tu na si viongoz wa dini, takataka tu!
Kusainiwa ndio kujenga?Contact zina conditions nyingi na ndo maana utaona kuna miradi mingi huwa inasuasua hela hamna na mingine inaishia njiani. Mfano mradi wa gas kinyerezi ule una hadi Kinyerezi 4 na wakati jk anazindua kivuko kinyerezi 1 alisema kiongoz anayekuja anaweza endelea na hizo phase zingine. Tumeona jpm kajenga kinyerezi 2 na sasa hakuna mpango mwingine zaid ya kuhamia umeme wa maji. Mikataba inasainiwa na serikali haitoi pesaTuambie kwanza contract imesainiwa mwaka gani? Kupiga chini maana yake kuvunja mkataba au una maana nyingine?
Anajua ugonjwa wake ni idadi ya barabara na kusema nani kama magufuliiiii kisha unataja idadi ya wabunge waliohamia ccm kwa kigezo cha kuunga mkono hapo mzee baba analoaMakonda asha mmaliza mzee, Kwa kumsifia
Mkataba ni kingine na kutoa pesa ni swala lingine. Miradi mingap imekwama kisa serikali haijatoa pesa. Pitia uzinduz wa hospital ya mloganzila uone serikali kupitia awamu ya jpm imetoa kiasi gan hadi mradi kukamilika licha ya huo mradi kuanza enzi za jk.Una uwezo kidogo wa kujua mikataba jinsi inavyotekelezwa..??