Daraja la kigamboniKuna vitu hata vikipewa majina mapya yameshindwa kubadili majina ya awali yaliyozoeleka mfano daraja La kilombero,Pugu road,daraja la Tazara, nk yanaendelea kutumika yaliyozoeleka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daraja la kigamboniKuna vitu hata vikipewa majina mapya yameshindwa kubadili majina ya awali yaliyozoeleka mfano daraja La kilombero,Pugu road,daraja la Tazara, nk yanaendelea kutumika yaliyozoeleka
Mnatapatapa sana. Mradi umeanza kujengwa 2016 na serikali inayoongozwa na jpm.jpm alikua na uwezo wa kupiga chini mipango yote ya jk lkn hana upumbavu ambao mnauonesha humu.Kama kaachana na mradi wa gesi na kaingia wa maji alishindwa nn kuachana na flyover?
Kusaini na utekelezaji ni vitu viwili tofauti. Kwanini huo mradi wa ubungo unasuasua?Umesainiwa lini?Balozi wa japan:mh Rais,nilipokuja nchini Tanzania nilishuhudia kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa flyovee ya Tazara,wakati huo ulikuwa waziri wa ujenzi!
Kwanini sisi hili tunalificha???
Unajua hawa watu ndo wanatufanya tuwe na hii hali ya kupigania hata mambo ya wazi.Tuambie kwanza contract imesainiwa mwaka gani? Kupiga chini maana yake kuvunja mkataba au una maana nyingine?
Kwani flyover kwa kiswahili inaitwajjesasa mbona mwakilishi anasema hili ni daraja
Kinyerezi kuna miradi mingap hadi sasa?Mimi ni mkazi wa huko sasa ukileta ujuaji nashangaaAmeenda mara mbili kwenye uzinduzi wa miradi ya Kinyerezi unaongea nini wewe.
Kwahiyo jpm huo mradi haumuhusu?Unajua hawa watu ndo wanatufanya tuwe na hii hali ya kupigania hata mambo ya wazi.
Nafikiri hata wewe unaweza jijibuKwahiyo jpm huo mradi haumuhusu?
Hujanielewa!Ninachosema mbona wasemaji wote wa Tz hawasemi mkataba umesainiwa liniKusaini na utekelezaji ni vitu viwili tofauti. Kwanini huo mradi wa ubungo unasuasua?Umesainiwa lini?
wateule wake nao wameshaanza kujitambulisha hivyo. kuna mmama mmoja dc wa dar jana kawaambia machangudoa wa dar kuwa wakiendeleza biashara yao kichaa chake kikipanda atawaibukia huko huko
Hamna mimi sina jibu.nategemea great thinker wewe unisaidie. Jpm flyover hamuhusu?Nafikiri hata wewe unaweza jijibu
Kwani wewe ulikuwa hujui kama ni daraja?Kumbe ni daraja?
Kusainiwa sio hoja kama ilani inavyoeleza kuwa kuna miradi jamaa anatakiwa akamilishe,mingine tayari imefanyiwa usanifu na aanze na mingine afanyie usanifu. So kusain kwa mkataba ni tofaut na kuutekeleza. Miradi mingi sana utakuta imewekwa vile vibao vya ujenzi miaka na miaka.Hujanielewa!Ninachosema mbona wasemaji wote wa Tz hawasemi mkataba umesainiwa lini
Visionary leader.Balozi wa japan:mh Rais,nilipokuja nchini Tanzania nilishuhudia kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa flyovee ya Tazara,wakati huo ulikuwa waziri wa ujenzi!
Kwanini sisi hili tunalificha???
Unaelewa maana ya kusign mkataba?Kusainiwa ndio kujenga?Contact zina conditions nyingi na ndo maana utaona kuna miradi mingi huwa inasuasua hela hamna na mingine inaishia njiani. Mfano mradi wa gas kinyerezi ule una hadi Kinyerezi 4 na wakati jk anazindua kivuko kinyerezi 1 alisema kiongoz anayekuja anaweza endelea na hizo phase zingine. Tumeona jpm kajenga kinyerezi 2 na sasa hakuna mpango mwingine zaid ya kuhamia umeme wa maji. Mikataba inasainiwa na serikali haitoi pesa
Sijabisha,swali langu kwanini hawasemi mkataba umesainiwa liniKusainiwa sio hoja kama ilani inavyoeleza kuwa kuna miradi jamaa anatakiwa akamilishe,mingine tayari imefanyiwa usanifu na aanze na mingine afanyie usanifu. So kusain kwa mkataba ni tofaut na kuutekeleza. Miradi mingi sana utakuta imewekwa vile vibao vya ujenzi miaka na miaka.