Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Dar: Flyover ya Mfugale yazinduliwa. Chang'ombe na Gerezani kujengwa flyover, Barabara njia 8 kujengwa Kimara hadi Kibaha

Kuna vitu hata vikipewa majina mapya yameshindwa kubadili majina ya awali yaliyozoeleka mfano daraja La kilombero,Pugu road,daraja la Tazara, nk yanaendelea kutumika yaliyozoeleka
Daraja la kigamboni
 
Ameenda mara mbili kwenye uzinduzi wa miradi ya Kinyerezi unaongea nini wewe.
Mnatapatapa sana. Mradi umeanza kujengwa 2016 na serikali inayoongozwa na jpm.jpm alikua na uwezo wa kupiga chini mipango yote ya jk lkn hana upumbavu ambao mnauonesha humu.Kama kaachana na mradi wa gesi na kaingia wa maji alishindwa nn kuachana na flyover?
 
Balozi wa japan:mh Rais,nilipokuja nchini Tanzania nilishuhudia kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa flyovee ya Tazara,wakati huo ulikuwa waziri wa ujenzi!
Kwanini sisi hili tunalificha???
Kusaini na utekelezaji ni vitu viwili tofauti. Kwanini huo mradi wa ubungo unasuasua?Umesainiwa lini?
 
Tuambie kwanza contract imesainiwa mwaka gani? Kupiga chini maana yake kuvunja mkataba au una maana nyingine?
Unajua hawa watu ndo wanatufanya tuwe na hii hali ya kupigania hata mambo ya wazi.
 
Yaani kaanza JK leo fulani anajiona ndio yeye
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Ameenda mara mbili kwenye uzinduzi wa miradi ya Kinyerezi unaongea nini wewe.
Kinyerezi kuna miradi mingap hadi sasa?Mimi ni mkazi wa huko sasa ukileta ujuaji nashangaa
 
Kusaini na utekelezaji ni vitu viwili tofauti. Kwanini huo mradi wa ubungo unasuasua?Umesainiwa lini?
Hujanielewa!Ninachosema mbona wasemaji wote wa Tz hawasemi mkataba umesainiwa lini
 
wateule wake nao wameshaanza kujitambulisha hivyo. kuna mmama mmoja dc wa dar jana kawaambia machangudoa wa dar kuwa wakiendeleza biashara yao kichaa chake kikipanda atawaibukia huko huko

Hahahaha ni wa kike au wa kiume. Huyo dc maana yule mama terry wa tcra aliambiwaga na hao madanga kwamba ata mume wake naye wanaruka naye tena anazungushiwa kiuno mpaka naniliu ulihisi inacharangwa charangwa kama kachumbari. Chezea madanga wa town. Wakituma polis, polis wanakopeshwa kesho madang yanarudi mtaani.

Ila sishangai jiwe anachakuaga vichaa kama yeye
 
Hujanielewa!Ninachosema mbona wasemaji wote wa Tz hawasemi mkataba umesainiwa lini
Kusainiwa sio hoja kama ilani inavyoeleza kuwa kuna miradi jamaa anatakiwa akamilishe,mingine tayari imefanyiwa usanifu na aanze na mingine afanyie usanifu. So kusain kwa mkataba ni tofaut na kuutekeleza. Miradi mingi sana utakuta imewekwa vile vibao vya ujenzi miaka na miaka.
 
Balozi wa japan:mh Rais,nilipokuja nchini Tanzania nilishuhudia kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa flyovee ya Tazara,wakati huo ulikuwa waziri wa ujenzi!
Kwanini sisi hili tunalificha???
Visionary leader.

Date::6/2/2010
Mwandishi Maalumu
RAIS Jakaya Kikwete, ameagiza hatua za haraka zichukuliwe, kujenga barabara zinazopita juu katika Jiji la Dar es Salaam, ili kupunguza misongamano mikubwa ya magari.

Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilisema Rais Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM alitoa agizo hilo juzi, baada ya kupewa taarifa ya utendaji ya CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam.

Mwenyekiti huyo alikuwa katika siku ya kwanza ya ziara yake ya siku tatu ya kukagua shughuli za CCM mkoani humo.

"Hili la flyovers lipewa kipaumbele ili tupunguze msongamano wa magari katika Dar es salaam. Tusipofanya hili jiji hili litakuwa halipitiki katika muda wa miaka mitano, ama hata katika miaka miwili ama mitatu ijayo," Rais Kikwete.

Rais Kikwetepia aliwaagiza wataalam wa mipango miji katika Jiji la Dar es Salaam, kuanza kupunguza maeneo yasiyopimwa kwa kuzingatia kuwa kwa sasa ni asilimia 30 ya jiji ndiyo iliyopimwa.

Alisema Jiji la Dar es Salaam, haliwezi kuendelea kupanuka bila mpangilio na kwamba wakati sasa umefika wa kuhakikisha kuwa linajengwa kwa kuzingatia mipango miji.

"Hatuwezi kuendelea namna hii na mji unaopanuka namna hii. Hili ni jambo zito, kubwa linalohitaji umakini wa haraka kutatuliwa. Ndio maana kipindupindu hakiishi katika mji huu." alisema Rais Kikwete baada ya kupata taarifa kutoka kwa watalaam wa huduma za maji, ardhi na barabara.

Katika mkutano huo, Rais Kikwete pia alipewa taarifa kuhusu hatua zinazochukuliwa kukabiliana na ukosefu wa maji ya katika jiji hilo.

Rais Kikwete pia aliusifu utendaji wa CCM katika Mkoa wa Dar es Salaam akiwataka viongozi wa chama hicho kutafuta njia za haraka za kutatua matatizo ya wananchi.

"Angalieni na chunguzeni sana matatizo ya wananchi. Haya ndiyo muhimu kwetu kuyashughulikia, tena kwa haraka. Hii ndiyo nguvu ya chama chetu," amesema Mwenyekiti huyo wa CCM

Source: MWANANCHI
 
Kusainiwa ndio kujenga?Contact zina conditions nyingi na ndo maana utaona kuna miradi mingi huwa inasuasua hela hamna na mingine inaishia njiani. Mfano mradi wa gas kinyerezi ule una hadi Kinyerezi 4 na wakati jk anazindua kivuko kinyerezi 1 alisema kiongoz anayekuja anaweza endelea na hizo phase zingine. Tumeona jpm kajenga kinyerezi 2 na sasa hakuna mpango mwingine zaid ya kuhamia umeme wa maji. Mikataba inasainiwa na serikali haitoi pesa
Unaelewa maana ya kusign mkataba?
 
Kusainiwa sio hoja kama ilani inavyoeleza kuwa kuna miradi jamaa anatakiwa akamilishe,mingine tayari imefanyiwa usanifu na aanze na mingine afanyie usanifu. So kusain kwa mkataba ni tofaut na kuutekeleza. Miradi mingi sana utakuta imewekwa vile vibao vya ujenzi miaka na miaka.
Sijabisha,swali langu kwanini hawasemi mkataba umesainiwa lini
 
Back
Top Bottom