Alienda yeye, siyo mimi, katekwa yeye sasa huko wanampekuwa makalio, wakimaliza wanamuua.Hivi mna akili nyie, au mnaandika tuu bila kufikiria, ni akili mbovu kufikiri police wapo pale kukulinda, wale ndio watekaji na wauaji, mtaelewa ikiwa too late
🥲🥲🥲 My Poor countryWatekaji walim-blackmail.. Either akubali kutekwa au familia ipotezwe.
Mzee wa sogelea telegramMwamba tulikuwa tunakula nondo sana simulizi zake kule telegram
Yah Mimi nilikuwa nime subscribe kbs kwenye channel yake kula nondoMzee wa sogelea telegram
Yaani kwa ufupi watekaji kwa sasa hawaogopiHuwa sipendi kutumia sheria mkononi Ila kwenye hili ni bora kufanya hivyo maana watu wataisha wote tukibaki kujiuliza tu.
Mtu anatekwa na anajulikana wakina nani wamemchukua aisle harmful wanataka watu wakae kinda hiyo sio sawa..
Inaumiza sana.Yaani kwa ufupi watekaji kwa sasa hawaogopi
Kwa kweli jamaa hukujulinda inavyotakikana, zaidi ya yote alitoa taarifa ya kufuatiliwa kwake akiamini wahuni wataogopa.
Kwenye nchi sasa hivi usipojilinda mwenyewe vyombo vya ulinzi havitakusaidia zaidi ya kukididimiza.
Angejificha angalau asingekamtwa mapema.Angejilinda vipi na mabaunsa au bunduki? Samia Suluhu akikutaka hata border ya Kenya ufiki
Angejificha angalau asingekamtwa mapema.
Kwani Gwajima alijificha wapi?Bro una kichwa kigumu sana
Kwani Gwajima alijificha wapi?
Shida huyo Buyobe anaomba/anataka huruma kwa jamii akijua atasaidiwa. Tanzania ya kutafuta huruma si ya huyu shetani.
Kujilinda is not enoughJuzi si alisema maisha yake yako hatarini?
Kwanini hakujilinda ama hakujificha wakati alijua kilichokuwa kinakuja?
Simlaumu bali nazungumzia uhalisia.Bro mimi nimemalizana na wewe, keep blaming the victims
Ni sahihi, lakini alitakiwa kuchukua tahadhari zaidi. Kutoa taarifa kwa uma/vyombo vya ulinzi haikupi guarantee ya kuwa safe kwa Tanzania ya sasa.Kujilinda is not enough