Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

waSiasa za Africa ni za kufa na kupona, sasa kama anakosa cwampeleke mahakamani, lijulikani. Huyu mtu akifia huko c wanahatarisha machafuko nchi nzima, watznia wengi matumaini yao yako kwenye Mbowe sio chadema.
Hakuna machafuko yeyote yatatokea kwa kuwa Mtanzania wa kawaida mpaka sasa hivi hajui hata kama Mbowe amekamatwa kwa tuhuma za Ugaidi. Watanzania wanalia na Tozo na kujadili ushindi wa Simba Sports
 
Tunamtakia apone na akabiliane na hizo tuhuma. By any means CDM inaendeshwa kiharakati na matukio. Kama Mbowe akishinda hizo tuhuma nawashauri CDM tafuteni watu mabingwa wa mikakati ya Siasa wawaaandikie ni namna gani mnaweza kupambana na CCM katika utawala wa Rais SSH.
Nakuunga mkono.
 
Back
Top Bottom