Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

Tunamtakia apone na akabiliane na hizo tuhuma. By any means CDM inaendeshwa kiharakati na matukio. Kama Mbowe akishinda hizo tuhuma nawashauri CDM tafuteni watu mabingwa wa mikakati ya Siasa wawaaandikie ni namna gani mnaweza kupambana na CCM katika utawala wa Rais SSH.
Sasa mkuu kama unajua cha kufanya ili kupambana na ccm si uanzishe chama upambane nayo?
au mlango wa kuanzisha vyama ullishafungwa?
 
Siasa za Africa ni za kufa na kupona, sasa kama anakosa c wampeleke mahakamani, lijulikani. Huyu mtu akifia huko c wanahatarisha machafuko nchi nzima, watznia wengi matumaini yao yako kwenye Mbowe sio chadema.
Kwamba matumaini yao yapo kwa Mbowe na sio CHADEMA, kwahiyo Ikitokea amekufa kama ilivyokawaida ya binadamu wote hakuna kitu kitakachoendelea licha ya kuwepo CHADEMA?
 
Mbowe: Watanzania Wachanjwe kwa lazima

☝🏻mlitaka kauli Kama hizi zitawale Katika taifa

👇
Hapana.
 
Mama anaupiga mwingi

Sumu tayari nini??
Wengi mnaongea sumu kwakua hamyajui mazingira ya mahabusu na gereza za bongo, Kiufupi ukiingia kule kama una afya ambayo sio thabiti aidha una kagonjwa makubwamakubwa ni lazima uugue.

Sasa mtu mwenye clinic Dubai akae rumande kwa zaidi ya wiki utegemee nini? Ninachoamini ukimchukua mtu kama NDUGAI ukamweka alipo Mbowe hatoboi hata wiki,kwa jinsi alivyo mgonjwa.

Msiwaze sumu tu.
 
Back
Top Bottom