Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

Mbowe akifia mahabusu ni damage kubwa ambayo Samia kamwe hatorecover nayo, itakuwa too much kwake.
Hatoweza kamwe kusafishika kwa dhulma na uonevu huo!
 
Kigogo Alitahadhari kuwa watampa sumu ili afe. Naona wameshafanya yao

Mbowe apewe sumu kwa sababu kwa sababu zipi haswa!?

Sumu wanapewa wanyama na wadudu waharibifu mbowe ni binadamu na hana madhara yoyote kwa jamii kwa hiyo hii kik mnayojaribu kuitengeneza achaneni nayo

Chadema yenyewe ishajifiaga
 
View attachment 1868936

Mwenyekiti Freeman Mbowe augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay Dar Es salaam.
SSH rais , I speek with confidence, na rais wetu ndio, ni kiongozi WETU ndio, ila WENDA Kuna kitu wakitaka TOKA KWA tz na wakilazimisha,au Kama hujui Basi wapo wabaya wako ndani ya serikali yako wanakitaka ili timiza malengo yao,

Hili la mwenyekiti wa chama, ni bom kubwa Sana kwako,

Kumbuka mwamchukia mh lissu, ila kitendo Cha Yeye kusema haoni mh Mbowe endelea kaa kwenye kuta nene mpaka kufika jmosi ijayo imewatia moyo Sana wapenzi na wafuasi wa CHADEMA, NA SIO KWAMBA WAMEPUUZA,

LIKITOKEA LA KUTOKEA KWA MH MBOWE, AMINI NAKWAMBIA, UTAJIBEBA, WATU WANA HASIRA,NIKIWEMO MIE

MUACHIENI MWENYEKITI MARA MOJA NA SIO OMBI, NI LAZIMA wakati sio mzuri Sana kwako , japo watakwambia 47 mbatizaji ni mjinga flani ,it's ok ,ila nakwambia

Mungu ibariki tz
 
Nakuunga mkono.
Maana walianza kwa appreciate namna alivyoruhusu uhuru wa kujieleza, utawala wa Sheria, kufuta makesi ya kubambikiza na kuweka mazingira ya kuvutia wawekezaji.

Tukaona mwisho wa kesi ya Mdude Chadema, kurudi kwa Yusuf Manji na wao akina Mbowe kushinda RUFAA ya kesi ya Akwilina.

Bahati mbaya wakaanza kumshurutisha Rais kuwa akutane nao. Ingawa Rais alikuwa amejipangia ratiba yake ya kukutana na makundi masilahi mbalimbali. Kwenye kundi la vyama vya Siasa walisikika wakisema kuwa Rais akutane na CDM peke yake wao hawatahudhuria akiita vyama vyote kwa pamoja.

Suala la Katiba. Rais alikwisha sema kuwa kwa sasa anashughulikia kupanga uchumi, Katiba isubiri. Wao CDM wanasema hapana tunataka Katiba mpya sasa.

Mikutano ya hadhara. Kimsingi ni halali kikatiba, lakini Rais SSH ameikuta executive order ya kuifungia iliyowekwa na Magufuli. Kwa busara yake akasema ngoja kwanza ajiridhishe kuhusu hiyo mikutano ya hadhara. Lakini CDM hawaja taka kujua Wana deal na Rais muungwana. Wakaamua kupuuza na kuendelea na hiyo mikutano. Kwenye mkutano wa Barccuda wakampandisha yule mtukana matusi maarufu aliyekuwa rumande kuanzia mwaka jana na akawa ametoka recently na akatoa matusi mapya dhidi ya Rais. Kuwa atamnyoa kwa wembe aliomnyolea mtangulizi wake.

Na akina Mbowe hawakumchukulia hatua kumkanya, wakaona ni sawa tu.

Huyu Rais mpole na muungwana, anakubalika sana na wananchi. Ukiweka mkakati wa Siasa za kumvuruga kama Mwendazake CDM mtapoteza kukubalika kwenu na wananchi.
 
Mbowe akifia mahabusu ni damage kubwa ambayo Samia kamwe hatorecover nayo, itakuwa too much kwake.
Hatoweza kamwe kusafishika kwa dhulma na uonevu huo!
Huwa mnakuwa na emaginations kubwa kuliko uhalisia wa mambo, alikuwa Rais wa nchi na nchi ikapita leo hii Mbowe ndo aitetemeshe Tz?

Tumuombee apone,lakini swala la kusema kwamba akifa kutakuwa na damage kubwa sidhani.
 
Wale wanasheria wabobevu wa ndani ya chama na nje ya chama, hakuna wanaloweza kufanya hapa? Kwanini wasiingie wao barabarani kwanza kudai "Utii wa sheria" na kutuonesha jinsi wanavyochukizwa na ukandamizwaji wa sheria ambao wao ndo wataalamu?

Lisu, shangazi, Maria, n.k, ingieni kitaa, tukiona mko siriasi, sisi wajasiri wa nyuma ya kiibodi tutawaunga mkono na hapo tutakuwa tumeiokoa sheria nchini.
 
Huyu Mrema anapingana na Lisu aliesema hawatamhudumia Mbowe kwa chochote akiwa mahabusu?
 
Back
Top Bottom