Labda madhara ya astrazenekaKwani anaumwa nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda madhara ya astrazenekaKwani anaumwa nini.
Ewe kigaragosi hutaki gaidi awe mwendazake?Chama cha majambazi ccm chini ya mwenyekiti wao tutawawajibisha kwa lolote litakalomtokea Mheshimiwa Mbowe!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mikwara si uende ukaitoe ukiwa pale Central?
Fikiria jinsi watakavyofurahi wale walioskia kuwa CDM wanashangilia kifo cha JPM miezi minne hapo nyuma, afu njoo uandike juu ya wananchi gani unaowazunguzia.
Ukweli ni kwamba,hata akifa wapo wataofurahi na wapo watakao huzunika.
Kwa huu uandishi wako,sio kwamba unatudanganya kweli?Nilisha malizana na wewe, binafsi kwenye haki nipo mstali wa mbele Sana,that's ,waweza uliza Mwagama, akiwa naibu wa waziri wa elim, prof shukuru kawambwa ,kunakipindi nilitaka mchakaza makofi katibu mkuu wao wizara ya elim karibu na ikulu yao hapo dar KWA majibu ya ovyo na ujinga wa wa ovyo, na siku Iyo J.Mwagama alikua anaenda panda ndenge elekea Zanzibar na kimkoba chake,ni mda umepita,
Why nyama za mwili zinidanganye wakati nitakufa, ? Haki kwangu ni kipaumbele Cha KWANZA mengine yanafuatia, that's Hata nyumbani nikifanya Jambo ambalo sio sawa KWA vijana wangu na wakaja na hoja lazima Kama wapo sawa niwaombe msamaha,na wanajua kwamba nyumbani kwao ni sehem ya hoja sio udictator kisa baba yao,big no
Nikafika MWANZA ,Mnakimbiza mwenyekiti dar mpa kesi ya UGAIDI ,safari hii Mtapigwa neno mpaka mvunjike viuno na mtajua wapo walio duniani sio KWA bahati mbaya, ila Wanayo connection , ya kweli na yule anae wapa,au Alie wapa pumzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii mikwara si uende ukaitoe ukiwa pale Central?
Wewe mwendawazimu, hili siyo jukwaa lako.Kuugua kwa gaidi ni nafuu kwa watanzania
Sawa ,jf aliekwambia Kuna ushindani wa kuandika nani? Watu wepesi akilini,kiuchumi mba shida Sana, mkipata kaupenyo wa kupata vijisenti , mnang,ang,ania Kama kupe ,Kwa huu uandishi wako,sio kwamba unatudanganya kweli?
asante kwa taarifa John Mrema.
Me sikuelewi kabisa, nasoma kwa makini lakini naambulia patupu.Sawa ,jf aliekwambia Kuna ushindani wa kuandika nani? Watu wepesi akilini,kiuchumi mba shida Sana, mkipata kaupenyo wa kupata vijisenti , mnang,ang,ania Kama kupe ,
Sikia maisha mazuri yapo ACHA JIPENDEKEZA KWA maisha hatarishi hata shindwa kuona ufalme wa mbingu,
Ni sehemu ya taarifa kwa umma, au siyo?Hao mawakili hamna mawasiliano nao, au kuna umuhimu gani wa hiyo aya?
Awaache tu sio?Yani mama samia nampenda sana.Awe makini isije ikatokea akapata shida ya watu kufia mikononi mwake, awaache hawa watu.Awakataze pia wasaidizi wake kuhusu kuwakamata hawa watu.Watamsababishia shida,kwani mikono yake ni misafi haina damu.
Mungu mbariki mama Samia
Hujui unachokiongeaHivi Kwanini inakuwa rahisi kwa wengine kuhusiwa kuugua corona. Serikali haiwezi kuua kirahisi hivyo. Tena kwa mpenda utamu Kama Bwana DJ. Angepelekewa Chambo na wangemmaliza huku wewe unaona Ajali.
Hujui unachokiongeaHivi Kwanini inakuwa rahisi kwa wengine kuhusiwa kuugua corona. Serikali haiwezi kuua kirahisi hivyo. Tena kwa mpenda utamu Kama Bwana DJ. Angepelekewa Chambo na wangemmaliza huku wewe unaona Ajali.
Me sikuelewi kabisa, nasoma kwa makini lakini naambulia patupu.