Dar: Freeman Mbowe (CHADEMA) augua akiwa Mahabusu ya Polisi, Oysterbay

waSiasa za Africa ni za kufa na kupona, sasa kama anakosa cwampeleke mahakamani, lijulikani. Huyu mtu akifia huko c wanahatarisha machafuko nchi nzima, watznia wengi matumaini yao yako kwenye Mbowe sio chadema.
Hakuna machafuko yeyote yatatokea kwa kuwa Mtanzania wa kawaida mpaka sasa hivi hajui hata kama Mbowe amekamatwa kwa tuhuma za Ugaidi. Watanzania wanalia na Tozo na kujadili ushindi wa Simba Sports
 
Kama itapendeza auliwe tu maana CCM tunapenda kuonea wapinzani better tuwaue tu
 
Nakuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…