Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Anataka kupandishwa cheo?Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Ibrahim Samwix ameyazuia mabasi 35 kuendelea na safari kutokana na ubovu mbalimbali aliogundua kwenye magari hayo kabla ya safari
Magari hayo hayataruhusiwa hadi yataka tengenezwa kwa kuwa yalikuwa yanahatarisha maisha ya wasafiri
Wito umetolewa kwa wenye magari kuyakagua na kuyatengeneza magari yao mara kwa mara ili kuepuka usumbufu
View attachment 1767667
Wanyonge wanaanza kunyanyasika
Wamiliki wa hayo magari sio wanyonge, kama ni abiria apo watapanda gari nyingine usalama wao kwanzaWanyonge wanaanza kunyanyasika
Hao jamaa hawafanyi kazi yao ipasavyo, basi zote hizo kuzuiliwa siku moja sio issue ndogo.
Kick za kitoto sana hizi, ukaguzi haufanyiki hivi? Huwezi kuzuia mabasi 35, ulikua wapi siku zote? Hii routine check up ni full magumashi
Ukaguzi haufanyiki kwa macho please, huyu ni mzembe na ni mhujumu uchumi! Ukaguzi hauko hivyo! Ni jambo jema kufanya ukaguzi ila haufanyiki kwa style hio, huwezi kukagua mabasi 35 kwa masaa, hakuna ukaguzi hapo labda kama anapima oilUkaguzi wa kituoni ni bora zaidi na tofauti na ule wa barabarani
Kick tena🤔🤔
Wacha magari yakaguliwe kwa usalama wa wamiliki na raia pia
Ukaguzi haufanyiki kwa macho please, huyu ni mzembe na ni mhujumu uchumi! Ukaguzi hauko hivyo! Ni jambo jema kufanya ukaguzi ila haufanyiki kwa style hio, huwezi kukagua mabasi 35 kwa masaa, hakuna ukaguzi hapo labda kama anapima oil
Soma hio tarifa, sikuwabeza nimesema kile ninachokijua! Magari yanatakiwa kukaguliwa na kuna ukaguaji wake! Narudia magari 35 ni mengi sana kukaguliwa kwa muda huo kama anavyoonekana kwenye picha.Kabla ya kuwabeza labda tujue machache...
Kwani walikagua vitu gani haswa?
Na wamefanya ukaguzi kwa masaa mangapi?
Na wakaguzi walikua wangapi?
Walitumia macho peke yake bila vifaa vingine vya ukaguzi?