Dar: Gari 35 zazuiliwa kuendelea na safari stendi ya Magufuli

Dar: Gari 35 zazuiliwa kuendelea na safari stendi ya Magufuli

Kuna gari la Kisbo la Dar Dodoma limewaponyokaje? Ni kimeo balaa
Kisbo ni taka taka sio dar - dom,sio dar - kahama,sio dar wapi Kisbo ni ushubwada

ambao natamani nikiona mtu anakata ticket nimwambie aroooo bora apande lori
 
Tanzania mambo kijima kijima tu. Kila mtu ana weledi katika kila jambo. No wonder hata magari yanaweza kupigishwa nyungu vile vile.

Hiiiiii bagosha!
Kumbe unachangia udaku? Mimi nilifikiri tunajadiri issue kwa faida ya wasomaji!
 
Kwani kukagua matairi na link zake ikiwemo brake inachukua dakika ngapi mkuu? Vitu hivyo ndivyo visababishi vikubwa vya ajali. Hata wewe ukiwa unaanza safari ya mbali ndiyo vitu vya kukagua kabla ya safari. Au unafikiri wanakagua kila kitu? Au hujawahi hata kumiliki gari mkuu??!!
Naona mnataka ligi isiyo na maana, someni muelewe! Nendeni NIT pale mbona bure tu! Ukaguzi wa tairi?
 
Safi sana! Hatutaki kusikia habari za tanzia sababu ya ajali sisi
Usikute tu yale mambo ya kuwawekea vikwazo baadhi ya watu au makampuni ambayo hayajimizi masharti ya wachache wenye manufaa binafsi yamerudi,ila kama ni kwa nia njema ya uwajibikaji sahihi.Nitawaunga mkono kwa kujali usalama wa abiria na watanzania.
 
Magari ya leo siyo yale yenu ya nyundo.

Au ndiyo nyie mnaopona corona kwa nyungu?

Kama nyungu ni dili mbona haiwasaidii nazo India?

Ukaguzi wa magari by mburula? Si waseme tu ni kutengeneza mchongo wa rushwa?
Ww nmeshinda garage baba alipohs ntafeli fm4.....ni kweli gari nyingi now ni za umeme...Ila bado nyundo inauzd umeme, af ukianza kufuatilia magari na matatizo yake hapo ni gari mpya tu ilibd ztembee...yaan magari hayo 35 wamekagua nn...nna idea kubwa juu ya hz vitu. ...yes wapo sahh Ila Kuna mianya ya rushwa inatafutwa njile y huo ukaguz
 
Kuna afande mmoja alinifundisha jinsi ya kumwandaa mtu akupe rushwa bila ya kumwomba.
Unamtikisa halafu unakaa kimya pembeni, hapo lazima atakuletea misimbazi huku akikuomba msamaha.
 
Naongea hivi nikiwa dereva mkongwe zaidi ya miaka 30 magari mengi Ni mabovu sana
Yes mzee yaan Kama kweli wamekagua bila upendeleo. Bas gar si Zaid ya kumi ndio zngesafir hao jamaa nna wenge nao Sana magar karbu yote mabov
 
Kuna Basi linaitwa Shambalai, kama limeponyoka labda kama leo halikua ubungo, lile likipita ni kama kichanja kinatembea...
Shunie bishaaaa....?????

Umekaa unashangaa kitu kinakugonga miguuni, ukiangalia kumbe ni yai, kuna aliyebeba kuku huko ametaga.
Sasa kuku kutaga ndio ubovu wa basi mkuu?
 
Kumbe unachangia udaku? Mimi nilifikiri tunajadiri issue kwa faida ya wasomaji!

Siwezi kuwa sehemu ya ujinga iwe nyungu au kuendeleza upumbavu. Ujinga na upumbafu ni ndugu zake ujima na udaku wakiwamo kina nyungu na wakaguzi vilaza kama hao wanaojifanya wana weledi na ukaguzi wa mabasi.

Kupalilia Rushwa tu hakuna lolote!
 
Siwezi kuwa sehemu ya ujinga iwe nyungu au kuendeleza upumbavu. Ujinga na upumbafu ni ndugu zake ujima na udaku wakiwamo kina nyungu na wakaguzi vilaza kama hao wanaojifanya wana weledi na ukaguzi wa mabasi.

Kupalilia Rushwa tu hakuna lolote!
Asante kwa uelewa wako mdogo!
 
Mkuu wa Usalama Barabarani Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Ibrahim Samwix ameyazuia mabasi 35 kuendelea na safari kutokana na ubovu mbalimbali aliogundua kwenye magari hayo kabla ya safari

Magari hayo hayataruhusiwa hadi yataka tengenezwa kwa kuwa yalikuwa yanahatarisha maisha ya wasafiri

Wito umetolewa kwa wenye magari kuyakagua na kuyatengeneza magari yao mara kwa mara ili kuepuka usumbufu

View attachment 1767667
Suala la kufanya ukaguzi ni sawa ila kwann wafanye asubuhi na sio siku moja kabla ya safari
Hawaoni kwamba linaleta usumbufu kwa abiria
Na askari anakagua kama fundi au kama nani
Ila bongo bhana bado safari ni ndefu jamaa anakagua tairi isipompendeza anaweka kushoto😂😂😂
 
Back
Top Bottom