mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Soma hio tarifa, sikuwabeza nimesema kile ninachokijua! Magari yanatakiwa kukaguliwa na kuna ukaguaji wake! Narudia magari 35 ni mengi sana kukaguliwa kwa muda huo kama anavyoonekana kwenye picha.
Nimesoma vizuri kabisa kwamba magari hayo yana matatizo mbalimbali....
Sasa kama yote 35 yana shida yaruhusiwe kwenda yakaue watu au kuteketea kwa sababu tuu ni mengi sana kuzuiwa?
Na ndio maana ma bus yote yanayoenda mkoani yanatakiwa kulala pale ubungo ili yakaguliwe vizuri
Wacha kazi iendelee