Soma hio tarifa, sikuwabeza nimesema kile ninachokijua! Magari yanatakiwa kukaguliwa na kuna ukaguaji wake! Narudia magari 35 ni mengi sana kukaguliwa kwa muda huo kama anavyoonekana kwenye picha.
Kwani sio sehemu ya kazi yake?Anataka kupandishwa cheo?
Kwani kukagua matairi na link zake ikiwemo brake inachukua dakika ngapi mkuu? Vitu hivyo ndivyo visababishi vikubwa vya ajali. Hata wewe ukiwa unaanza safari ya mbali ndiyo vitu vya kukagua kabla ya safari. Au unafikiri wanakagua kila kitu? Au hujawahi hata kumiliki gari mkuu??!!Soma hio tarifa, sikuwabeza nimesema kile ninachokijua! Magari yanatakiwa kukaguliwa na kuna ukaguaji wake! Narudia magari 35 ni mengi sana kukaguliwa kwa muda huo kama anavyoonekana kwenye picha.
Kwani timu ilikuwa na watu wangapi?Ukaguzi haufanyiki kwa macho please, huyu ni mzembe na ni mhujumu uchumi! Ukaguzi hauko hivyo! Ni jambo jema kufanya ukaguzi ila haufanyiki kwa style hio, huwezi kukagua mabasi 35 kwa masaa, hakuna ukaguzi hapo labda kama anapima oil
Dada achana na huyo mburula hajui kitu. Kukagua gari siyo lazima wakague kila kitu ndiyo maana hata sisi watu wa kawaida huwa tunakagua gari kabla hujaanza safari hasa ndefu. Na wakati tunafundishwa kuendesha gari tulifundishwa vitu vya kucheki kabla ya kuanza safari.Nimesoma vizuri kabisa kwamba magari hayo yana matatizo mbalimbali....
Sasa kama yote 35 yana shida yaruhusiwe kwenda yakaue watu au kuteketea kwa sababu tuu ni mengi sana kuzuiwa?
Na ndio maana ma bus yote yanayoenda mkoani yanatakiwa kulala pale ubungo ili yakaguliwe vizuri
Wacha kazi iendelee
Dada achana na huyo mburula hajui kitu. Kukagua gari siyo lazima wakague kila kitu ndiyo maana hata sisi watu wa kawaida huwa tunakagua gari kabla hujaanza safari hasa ndefu. Na wakati tunafundishwa kuendesha gari tulifundishwa vitu vya kucheki kabla ya kuanza safari.
Mabasi yapo ya kumwaga bwashee!Kama huo Ukaguzi umefanyika asubuhi, je, hao abiria wamewapeleka wapi?
Kabla ya kuwabeza labda tujue machache...
Kwani walikagua vitu gani haswa?
Na wamefanya ukaguzi kwa masaa mangapi?
Na wakaguzi walikua wangapi?
Walitumia macho peke yake bila vifaa vingine vya ukaguzi?
Mbona kwenye garage nyingi tu tunapeleka kutengenezewa magari yetu mafundi hawana degree mkuu na gari zinapona mkuu?Ungeongezea na weledi wa wakaguzi hasa elimu yao.
Kama wana hata degree na kwenye fani zipi, itapendeza zaidi kufahamu.
Siyo wasanii tu hawa wanaokagua matairi na rangi hawa?
Huyu alijiongeza.Kuna gari la Kisbo la Dar Dodoma limewaponyokaje? Ni kimeo balaa
Mbona kwenye garage nyingi tu tunapeleka kutengenezewa magari yetu mafundi hawana degree mkuu na gari zinapona mkuu?
Mimi ndiyo ningekuwa Vehicle inspectorKabla ya kuwabeza labda tujue machache...
Kwani walikagua vitu gani haswa?
Na wamefanya ukaguzi kwa masaa mangapi?
Na wakaguzi walikua wangapi?
Walitumia macho peke yake bila vifaa vingine vya ukaguzi?
Hatua nzuri na ya kupongezwa,ila isitengeneze mazingura ya rushwa huko mbele.
Dar-ihumwaKuna gari la Kisbo la Dar Dodoma limewaponyokaje? Ni kimeo balaa