Kisbo ni taka taka sio dar - dom,sio dar - kahama,sio dar wapi Kisbo ni ushubwadaKuna gari la Kisbo la Dar Dodoma limewaponyokaje? Ni kimeo balaa
Kumbe unachangia udaku? Mimi nilifikiri tunajadiri issue kwa faida ya wasomaji!Tanzania mambo kijima kijima tu. Kila mtu ana weledi katika kila jambo. No wonder hata magari yanaweza kupigishwa nyungu vile vile.
Hiiiiii bagosha!
Hata wangukua 100 hakuna ukaguzi wa hapo kituoni!Kwani timu ilikuwa na watu wangapi?
Naona mnataka ligi isiyo na maana, someni muelewe! Nendeni NIT pale mbona bure tu! Ukaguzi wa tairi?Kwani kukagua matairi na link zake ikiwemo brake inachukua dakika ngapi mkuu? Vitu hivyo ndivyo visababishi vikubwa vya ajali. Hata wewe ukiwa unaanza safari ya mbali ndiyo vitu vya kukagua kabla ya safari. Au unafikiri wanakagua kila kitu? Au hujawahi hata kumiliki gari mkuu??!!
2atu wamekula hasara na tiketi zmerudishwaHao jamaa hawafanyi kazi yao ipasavyo, basi zote hizo kuzuiliwa siku moja sio issue ndogo.
Tofautisha ukaguzi wa gari casual na ule kwa ajili ya matengenezo mkuuNaona mnataka ligi isiyo na maana, someni muelewe! Nendeni NIT pale mbona bure tu! Ukaguzi wa tairi?
Usikute tu yale mambo ya kuwawekea vikwazo baadhi ya watu au makampuni ambayo hayajimizi masharti ya wachache wenye manufaa binafsi yamerudi,ila kama ni kwa nia njema ya uwajibikaji sahihi.Nitawaunga mkono kwa kujali usalama wa abiria na watanzania.Safi sana! Hatutaki kusikia habari za tanzia sababu ya ajali sisi
Ww nmeshinda garage baba alipohs ntafeli fm4.....ni kweli gari nyingi now ni za umeme...Ila bado nyundo inauzd umeme, af ukianza kufuatilia magari na matatizo yake hapo ni gari mpya tu ilibd ztembee...yaan magari hayo 35 wamekagua nn...nna idea kubwa juu ya hz vitu. ...yes wapo sahh Ila Kuna mianya ya rushwa inatafutwa njile y huo ukaguzMagari ya leo siyo yale yenu ya nyundo.
Au ndiyo nyie mnaopona corona kwa nyungu?
Kama nyungu ni dili mbona haiwasaidii nazo India?
Ukaguzi wa magari by mburula? Si waseme tu ni kutengeneza mchongo wa rushwa?
Yes mzee yaan Kama kweli wamekagua bila upendeleo. Bas gar si Zaid ya kumi ndio zngesafir hao jamaa nna wenge nao Sana magar karbu yote mabovNaongea hivi nikiwa dereva mkongwe zaidi ya miaka 30 magari mengi Ni mabovu sana
Leo itakuwa lilikuwa linatokea DomKuna gari la Kisbo la Dar Dodoma limewaponyokaje? Ni kimeo balaa
Sasa kuku kutaga ndio ubovu wa basi mkuu?Kuna Basi linaitwa Shambalai, kama limeponyoka labda kama leo halikua ubungo, lile likipita ni kama kichanja kinatembea...
Shunie bishaaaa....?????
Umekaa unashangaa kitu kinakugonga miguuni, ukiangalia kumbe ni yai, kuna aliyebeba kuku huko ametaga.
Kumbe unachangia udaku? Mimi nilifikiri tunajadiri issue kwa faida ya wasomaji!
Asante kwa uelewa wako mdogo!Siwezi kuwa sehemu ya ujinga iwe nyungu au kuendeleza upumbavu. Ujinga na upumbafu ni ndugu zake ujima na udaku wakiwamo kina nyungu na wakaguzi vilaza kama hao wanaojifanya wana weledi na ukaguzi wa mabasi.
Kupalilia Rushwa tu hakuna lolote!
Asante kwa uelewa wako mdogo!
Suala la kufanya ukaguzi ni sawa ila kwann wafanye asubuhi na sio siku moja kabla ya safariMkuu wa Usalama Barabarani Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Ibrahim Samwix ameyazuia mabasi 35 kuendelea na safari kutokana na ubovu mbalimbali aliogundua kwenye magari hayo kabla ya safari
Magari hayo hayataruhusiwa hadi yataka tengenezwa kwa kuwa yalikuwa yanahatarisha maisha ya wasafiri
Wito umetolewa kwa wenye magari kuyakagua na kuyatengeneza magari yao mara kwa mara ili kuepuka usumbufu
View attachment 1767667