Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Hahaha mkuu punguza jazba ...mabinti wa kichaga ukiwa huna hela anakuacha ,ukiwa hela anakuua ili abaki na Mali ,ukichepuka akijua anakuua afuu k,hawana time kuitoa kwa uzuri
Mnajifariji sana wavulana. Maneno ya vijana maskini ndo kama hv. Yaan huwaga siwamalizi. Kila mwnaaume amtakaye mchagga ana hela. Kima nyie[emoji23][emoji23] wakati munalelewa majority na hawa wanawake wa kichagga
 
Nilishaambiwa nisioe mwanamke wa kichaga ......huwa ni wasenge sanaa. K hawajui kuiweka vizur ichakatwa ilaaa wana wivu tu na kupenda hela
Haaahaaahaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
kweli apo mbaya nafsi yangu nitatumia uwongo wowote lakini kusema nita kuoa alafu kumbe sina mpango huo siwezi kamwe maana nina juwa uchungu wa uongo mkubwa kama huo!
wanaume wengi sana huwa na tabia hizo me sera tu kudanya nita kuoa kumbe sina mpango huo siwezi bora ni kukukose witnessj,
 
Kuna rafiki yangu wa kigoma juzi tu kafunga ndoa na mmachame...kiukweli namsikitikia Sana..Mana Hawa watu historia yao Bado inawabeba...[emoji2506]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Historia inawabeba sio
 
Dah Ulifanyaje ss mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila bachelor akisikia taarifa hii anaongeza mkataba wa kuwa peke ake
 
unge mwambia manaaza upya kwa mapenzi matamu kuliko ya njiwa na Adamu na hawa!
 
Kaskazini Fc. Sasa usiombee ukutane na kaskazini Fc alafu ina handicap ukaioa. Mungu jaalia uwehata unavinyumba viwili umejenga, miaka 6 utoboi. Labda wote muwe team moja kaskazini fc
Hahahah nimecheka sana maninar
 
Wanaume hawafadhiliki, mwanaume hapewi hela, mwanaume anapewa k na kuombwa hela....hata uwe na milioni na ye ana elfu kumi omba hela, tena legeza jicho beba elfu kumi yote.
Mtuvumirie jamani ile ni necha tu ~ aliskika chakalamu mmoja wa jeiefu
 
Ndiyo alikuwa anaishi kwa Neema nyumba ya Familia yao.. Imagine...Then anamletea mambo ya ajabu hadi kuzaa na Mwanamke mwingine..

Huyo Bwana Kinyozi huo moto kautaka mwenyewe.
Kapelekewa moto πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜… Na ile Prado anayouzia sura ukute ya Neema πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wale wazee wa 45’ degrees ni bora uoe kabisa jamani ujue unalelewa kwa haki! Sio unamenya halafu unahangaika hangaika nje utakuja ufe!!!

Big baby and small bebi mjengoni😝 unaenda kazini wao wanacheza playstation uliompa zawadi siku ya harusi!
 
Anajiita nani insta?[emoji23][emoji23]
 
Mnajifariji sana wavulana. Maneno ya vijana maskini ndo kama hv. Yaan huwaga siwamalizi. Kila mwnaaume amtakaye mchagga ana hela. Kima nyie[emoji23][emoji23] wakati munalelewa majority na hawa wanawake wa kichagga
πŸ˜‚πŸ˜‚ + sijui kwani hawa jiulizi ndio hao hao Dada zetu wa kichaga wanao olewa ndoa za maana kila siku hapa town!
ndoa nyoofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…