mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,854
fanyeni linalo wezekana ata kuwa minya naniluu!Ewaaaaa[emoji23][emoji23]
Tuwamalizeee... wanatuponda humu na haya ma ID ila live mtaani tunasumbuliwa nao hawa hawa.
Liwalo na liweee ! wajipange na wawe na adabu na pesa zenu na mahusiano! wakija wana jidai wametuzidi kaka zenu kwenye mapenzi!!
Eti adi wanasaidia kubeba adi pochi eti Mama , dia, Baby,
Pochi umeweka vitu vingi sana nikusaidie ita kuumiza bega !
kumbe wana tafuta ATM ya bure!