Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Huwa mnatulaumu mapoti huku Mara kwamba tunapiga wake zetu.......haya sasa, mwanamke lazima awekewe discipline mapema kiasi kwamba hata kukusogelea au kukuuliza jambo awe anajifikiria mara mbili....
Sasa mkuu ukimpiga si ndo anakuvizia usingizinii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23] waambie dada zako nao wapunguze kupenda penda na kuhonga . Sasa mwanamke unamuhongaje mwanaume pesa? Si akatafute zake [emoji3]. But wadada wa kichaga wako poa sana labda uwazingue tu vinginevyo ni watafutaji na wana upendo wa dhati
kweli kabisa mkuu hawanaga shidah watu wana wazinguaga tu!
Me Dada yngu katoa tarifa nina kuja kuwatambulisha mchumba wangu na tumesha panga na siku ya kufunga ndoa
hakutaka kuhojiwa wala mazungumzo mengi siku imefika nipo kwenye angle 45° kwenye kuta nina sikia sister ana ongea nimesha kutumia laki 7 ongezea chukuwa suti nyeusi na viatu 🙄
nikatambaa zangu taratibu maana ni haki yake ila angejisikia vibaya pengine akijuwa nime sikia!!
muda umefika mjuba kaibuka suti yake nyeusi!
anyway ndio maisha kupanga ni kuchagua nina waombea Mungu ila sijui siku wakizinguana itakuwaje nina uona uwekezaji unaendela!!
 
kweli kabisa mkuu hawanaga shidah watu wana wazinguaga tu!
Me Dada yngu katoa tarifa nina kuja kuwatambulisha mchumba wangu na tumesha panga na siku ya kufunga ndoa
hakutaka kuhojiwa wala mazungumzo mengi siku imefika nipo kwenye angle 45° kwenye kuta nina sikia sister ana ongea nimesha kutumia laki 7 ongezea chukuwa suti nyeusi na viatu [emoji849]
nikatambaa zangu taratibu maana ni haki yake ila angejisikia vibaya pengine akijuwa nime sikia!!
muda umefika mjuba kaibuka suti yake nyeusi!
anyway ndio maisha kupanga ni kuchagua nina waombea Mungu ila sijui siku wakizinguana itakuwaje nina uona uwekezaji unaendela!!
Maskini. I feel u. Inaumizaa. Ila niliapa, naolewa leo hii, eti nitoe hela ya mahari ninpe jamaa akanilipie, ama nijinunulie gauni ya harusi ama pete. Varimu vangwae. Ngife sha kite cha msio. Mbutukuna ehh. Ngebaaliya ado kuee. Bora nilishe familia miaka yote ila siyo hilo.
 
We fala unaungana na dada zako acha ujinga!😅

Tutaendelea kuwabokoa kama ilivyo ada kwa sababu wanavyovipenda vipo huko sio kwenu wanywa double kick na Konyagi! SHEMEJI kaa kwa kutulia basi!
mkuu bila kunywa vichwa vitapasuka 😂😂😂
wa chukuweni kwa wingi wakiwa na watoto tuna furahi sana kuwa na wajomba sana aisee me nimechagua kumlipia mjomba wangu mmoja ada !
Maana nina mpenda sana mjomba nina muitaga Ndugai maana ni wapande hizo!
 
Maskini. I feel u. Inaumizaa. Ila niliapa, naolewa leo hii, eti nitoe hela ya mahari ninpe jamaa akanilipie, ama nijinunulie gauni ya harusi ama pete. Varimu vangwae. Ngife sha kite cha msio. Mbutukuna ehh. Ngebaaliya ado kuee. Bora nilishe familia miaka yote ila siyo hilo.
eti ngife sha kite!
uta tuachia huzuni bana usiseme hivyo!
ole tu kwa kuangalia wapo wengi waelewa ata ndugu zetu wasukuma wapo poa sana!
 
Mimi ni mpalestina ndio unasemaje sasa?
Nilijua tu, sasa kwani mawazo ya kufanya matukio kama haya kwa shemeji huwa yanakatiza kichwani mwako......mimi ni poti kutoka mara, lakini huwa sioni ni wapi naweza kurusha ngumi kumpiga mwanamke, nabaki kuwashangaa mapoti wenzangu wanao tembeza mkong'oto kwa wake zao, nafikiri hizi ni tabia binafsi za mtu..
 
Maskini. I feel u. Inaumizaa. Ila niliapa, naolewa leo hii, eti nitoe hela ya mahari ninpe jamaa akanilipie, ama nijinunulie gauni ya harusi ama pete. Varimu vangwae. Ngife sha kite cha msio. Mbutukuna ehh. Ngebaaliya ado kuee. Bora nilishe familia miaka yote ila siyo hilo.
Sasa si unakuwa chama la wana wa kitaa.....
 
Si ni bora umelala yooh baba umelala huku ukiwa umekula mbususu?[emoji23][emoji23]

Hivi wadah hili neno la mbususu limetokea wapi? Nini source ya hili neno...[emoji23][emoji23] its very funny
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo neno kuna member kule kwenye Uzi wa Rikiboy(Masihara) alileta kisa chake akalitumia..Nimemsahau jina..

Kuanzia hapo likawa Maarufu humu JF..
 
Back
Top Bottom