Dah kama jamaa alimuahidi ndoa kisha akawa anamchuna basi amelipia utapeli wake wa mapenzi!
Mwanamke akiwa amependa seriously anaji sacrifice kwa lolote kuhakikisha furaha yako tu ila ukizingua maamuzi wanayochukuaga kila mmoja ana ya aina yake ila best yangu
cariha anaweza kukunyoosha ana hasira sana 😂😂😂! Huyo mwanamke amewekeza apate kuolewa na HB wake Hamisi Kinyozi halafu kinyozi analeta mambo ya kitoto bana!
Huwezi kumchuna mtu miaka na miaka anakupa maisha halafu kumbe humpendi mie pia nakufanya kitu mbaya aisee naweza nisikudhuru ila ntakutia hasara tu ambayo itakuuma!