Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Hahaha mkuu punguza jazba ...mabinti wa kichaga ukiwa huna hela anakuacha ,ukiwa hela anakuua ili abaki na Mali ,ukichepuka akijua anakuua afuu k,hawana time kuitoa kwa uzuri
Mnajifariji sana wavulana. Maneno ya vijana maskini ndo kama hv. Yaan huwaga siwamalizi. Kila mwnaaume amtakaye mchagga ana hela. Kima nyie[emoji23][emoji23] wakati munalelewa majority na hawa wanawake wa kichagga
 
Nilishaambiwa nisioe mwanamke wa kichaga ......huwa ni wasenge sanaa. K hawajui kuiweka vizur ichakatwa ilaaa wana wivu tu na kupenda hela
Haaahaaahaa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Hakuwa Ex huyu ni hawara yake...Mario hamis alikuwa anamchuna anakula hela, pombe na K yake kwa madai atamuoa, kumbe ana mwanamke mwingine na mtoto kashawatambulisha kwao

Sasa kwa kitendo hiki tu peke yake , kama mwanamke alikuwa anakupenda kiukweli ni lazima akuondoe duniani[emoji848]

Umpotezee muda, ule k buure, akuhonge pesa ake ( hela ya mwanamke ni ya kuiacha kama ilivyo maana hustle zao Mungu wao ndo anajua) halafu Mario ukatambulishe k ingine kwenu? Haahaa haa anaona bora mkose wote!

Kwanza kamfanyia huyo mwanamke mwingine kisasi ili amkose huyo mume na kamuua kwa mtindo huu huyo mwanaume kwa kuwa hana nguvu za kupigana nae na hana option nyingine [emoji848]
kweli apo mbaya nafsi yangu nitatumia uwongo wowote lakini kusema nita kuoa alafu kumbe sina mpango huo siwezi kamwe maana nina juwa uchungu wa uongo mkubwa kama huo!
wanaume wengi sana huwa na tabia hizo me sera tu kudanya nita kuoa kumbe sina mpango huo siwezi bora ni kukukose witnessj,
 
Kuna rafiki yangu wa kigoma juzi tu kafunga ndoa na mmachame...kiukweli namsikitikia Sana..Mana Hawa watu historia yao Bado inawabeba...[emoji2506]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Historia inawabeba sio
 
Mwanamke ukiachana nae achana nae kabsa mazima, maswala ya kurudi rudi matokeo yake ndo haya.

Mimi nishakoma kuna demu Tuliachana lakini mwisho wa siku akaanza kunibembeleza ooh nimekumisi naomba tukutane jamani. Na mimi karoho kakameza mate[emoji16] nilichokutana nacho huko Logde mwanamke akaficha funguo akadai nimlipe pesa kufidia muda aliopoteza kipindi tukiwa katika mahusiano. Dah
Dah Ulifanyaje ss mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA ALIYEMCHOMA MOTO MPENZI WAKE NDANI YA NYUMBA

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Grace Janes Mushi (25) kwa tuhuma za kumchoma moto ndani ya nyumba aliyekua mpenzi wake aliyefahamika kwa jina la Khamis Abdallah (25).

Tukio hilo limetokea tarehe 16.07.2021 majira ya saa nane na nusu usiku huko maeneo ya Mbezi Makabe kwa Mzungu Wilaya ya Ubungo.

Mtuhumiwa Grace majira hayo ya saa nane usiku aliamka na kumfungia mlango kwa nje Khamis Abdallah kisha kumwagia mafuta ya petroli nyumba hiyo, kitendo kilichopelekea Khamisi kuungua na kufariki dunia akiwa ndani.

Uchunguzi wa awali unaonyesha kuwa chanzo cha tukio hilo ni mgogoro wa kimapenzi.

Imetolewa na :-
MULIRO J.MULIRO- ACP
KAMANDA WA POLISI,
KANDA MAALUM,
DAR ES SALAAM
Kila bachelor akisikia taarifa hii anaongeza mkataba wa kuwa peke ake
 
Mwanamke ukiachana nae achana nae kabsa mazima, maswala ya kurudi rudi matokeo yake ndo haya.

Mimi nishakoma kuna demu Tuliachana lakini mwisho wa siku akaanza kunibembeleza ooh nimekumisi naomba tukutane jamani. Na mimi karoho kakameza mate[emoji16] nilichokutana nacho huko Logde mwanamke akaficha funguo akadai nimlipe pesa kufidia muda aliopoteza kipindi tukiwa katika mahusiano. Dah
unge mwambia manaaza upya kwa mapenzi matamu kuliko ya njiwa na Adamu na hawa!
 
Kaskazini Fc. Sasa usiombee ukutane na kaskazini Fc alafu ina handicap ukaioa. Mungu jaalia uwehata unavinyumba viwili umejenga, miaka 6 utoboi. Labda wote muwe team moja kaskazini fc
Hahahah nimecheka sana maninar
 
Ndiyo alikuwa anaishi kwa Neema nyumba ya Familia yao.. Imagine...Then anamletea mambo ya ajabu hadi kuzaa na Mwanamke mwingine..

Huyo Bwana Kinyozi huo moto kautaka mwenyewe.
Kapelekewa moto 😂😅😅 Na ile Prado anayouzia sura ukute ya Neema 😅😅😅 wale wazee wa 45’ degrees ni bora uoe kabisa jamani ujue unalelewa kwa haki! Sio unamenya halafu unahangaika hangaika nje utakuja ufe!!!

Big baby and small bebi mjengoni😝 unaenda kazini wao wanacheza playstation uliompa zawadi siku ya harusi!
 
Kapelekewa moto [emoji23][emoji28][emoji28] Na ile Prado anayouzia sura ukute ya Neema [emoji28][emoji28][emoji28] wale wazee wa 45’ degrees ni bora uoe kabisa jamani ujue unalelewa kwa haki!

Big baby and small bebi mjengoni[emoji13] unaenda kazini wao wanacheza playstation uliompa zawadi siku ya harusi!
Anajiita nani insta?[emoji23][emoji23]
 
Mnajifariji sana wavulana. Maneno ya vijana maskini ndo kama hv. Yaan huwaga siwamalizi. Kila mwnaaume amtakaye mchagga ana hela. Kima nyie[emoji23][emoji23] wakati munalelewa majority na hawa wanawake wa kichagga
😂😂 + sijui kwani hawa jiulizi ndio hao hao Dada zetu wa kichaga wanao olewa ndoa za maana kila siku hapa town!
ndoa nyoofu
 
Back
Top Bottom