Sasa mkuu ukimpiga si ndo anakuvizia usingizinii[emoji3][emoji3][emoji3]Huwa mnatulaumu mapoti huku Mara kwamba tunapiga wake zetu.......haya sasa, mwanamke lazima awekewe discipline mapema kiasi kwamba hata kukusogelea au kukuuliza jambo awe anajifikiria mara mbili....
kweli kabisa mkuu hawanaga shidah watu wana wazinguaga tu![emoji23][emoji23] waambie dada zako nao wapunguze kupenda penda na kuhonga . Sasa mwanamke unamuhongaje mwanaume pesa? Si akatafute zake [emoji3]. But wadada wa kichaga wako poa sana labda uwazingue tu vinginevyo ni watafutaji na wana upendo wa dhati
Tumieni tu busara ana akili kuishi nao!Ha ha ha ndiyooo. Wapuuzi hawa
Yaani mkuu wewe acha tuunge mwambia manaaza upya kwa mapenzi matamu kuliko ya njiwa na Adamu na hawa!
😂😂😂Huyu marioo alizidi khaa[emoji848]
Hahaha mapenzi haya wewe acha tuDah Ulifanyaje ss mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amemkosea sana mwenzake. Ni mshenz sanaHuyu marioo alizidi khaa[emoji848]
Maskini. I feel u. Inaumizaa. Ila niliapa, naolewa leo hii, eti nitoe hela ya mahari ninpe jamaa akanilipie, ama nijinunulie gauni ya harusi ama pete. Varimu vangwae. Ngife sha kite cha msio. Mbutukuna ehh. Ngebaaliya ado kuee. Bora nilishe familia miaka yote ila siyo hilo.kweli kabisa mkuu hawanaga shidah watu wana wazinguaga tu!
Me Dada yngu katoa tarifa nina kuja kuwatambulisha mchumba wangu na tumesha panga na siku ya kufunga ndoa
hakutaka kuhojiwa wala mazungumzo mengi siku imefika nipo kwenye angle 45° kwenye kuta nina sikia sister ana ongea nimesha kutumia laki 7 ongezea chukuwa suti nyeusi na viatu [emoji849]
nikatambaa zangu taratibu maana ni haki yake ila angejisikia vibaya pengine akijuwa nime sikia!!
muda umefika mjuba kaibuka suti yake nyeusi!
anyway ndio maisha kupanga ni kuchagua nina waombea Mungu ila sijui siku wakizinguana itakuwaje nina uona uwekezaji unaendela!!
mkuu bila kunywa vichwa vitapasuka 😂😂😂We fala unaungana na dada zako acha ujinga!😅
Tutaendelea kuwabokoa kama ilivyo ada kwa sababu wanavyovipenda vipo huko sio kwenu wanywa double kick na Konyagi! SHEMEJI kaa kwa kutulia basi!
sio baruti kabisa ili itifuwe adi kifusi!Lijikaka kama lijikaka hahahaa. Ikiwezekana anzisha huduma ya kusupply petrol hadi home....
eti ngife sha kite!Maskini. I feel u. Inaumizaa. Ila niliapa, naolewa leo hii, eti nitoe hela ya mahari ninpe jamaa akanilipie, ama nijinunulie gauni ya harusi ama pete. Varimu vangwae. Ngife sha kite cha msio. Mbutukuna ehh. Ngebaaliya ado kuee. Bora nilishe familia miaka yote ila siyo hilo.
Nilijua tu, sasa kwani mawazo ya kufanya matukio kama haya kwa shemeji huwa yanakatiza kichwani mwako......mimi ni poti kutoka mara, lakini huwa sioni ni wapi naweza kurusha ngumi kumpiga mwanamke, nabaki kuwashangaa mapoti wenzangu wanao tembeza mkong'oto kwa wake zao, nafikiri hizi ni tabia binafsi za mtu..Mimi ni mpalestina ndio unasemaje sasa?
Sasa mkuu, poti hawezi kulala kizembe......masikio yote anasikilizia nje kama kuna wezi wa ng'ombe...Sasa mkuu ukimpiga si ndo anakuvizia usingizinii[emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha sava sava msashaeti ngife sha kite!
uta tuachia huzuni bana usiseme hivyo!
ole tu kwa kuangalia wapo wengi waelewa ata ndugu zetu wasukuma wapo poa sana!
Sasa si unakuwa chama la wana wa kitaa.....Maskini. I feel u. Inaumizaa. Ila niliapa, naolewa leo hii, eti nitoe hela ya mahari ninpe jamaa akanilipie, ama nijinunulie gauni ya harusi ama pete. Varimu vangwae. Ngife sha kite cha msio. Mbutukuna ehh. Ngebaaliya ado kuee. Bora nilishe familia miaka yote ila siyo hilo.
Kwani nikiwa wewe unapata milioni moja amaSasa si unakuwa chama la wana wa kitaa.....
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Si ni bora umelala yooh baba umelala huku ukiwa umekula mbususu?[emoji23][emoji23]
Hivi wadah hili neno la mbususu limetokea wapi? Nini source ya hili neno...[emoji23][emoji23] its very funny
Wee mpalestina, take life easy...Kwani nikiwa wewe unapata milioni moja ama
karibu mshikiHahaha sava sava msasha