miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
Hahahaha aisee... basi naona mpk twuta limeanza zoeleka. Japo nadhani ni wadau wa humuhumu wanapelekaga kule pia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hilo neno kuna member kule kwenye Uzi wa Rikiboy(Masihara) alileta kisa chake akalitumia..Nimemsahau jina..
Kuanzia hapo likawa Maarufu humu JF..
Haya "maroho ya mauti" ya Kimachame, wachaga inabidi wayabatilishe.kila siku ukisikia mwanamke wa kichaga amefanya ukatili mkubwa utakuta ni wa mmchame.lakini wanawake wa kimachame wanaongeaga vizuri kweli,Si rahisi kujua wamebeba mauti.Wachaga wa Machame wamefanya tukio tena. Rip mwana tulimshauri sana juu ya wanawake wa kichaga akakaiidi. Ona sasa.
Hama nchi atakusaka, nina bahati mademu wa kichaga niliokuwa nao tumeshapigana chini maana kuna kipindi mipango yangu ya mapene ilishuka. Kwa sasa akija mpalestina lazima nikabidhi mali zote kwa mama tuanze naye mikono tupu......kama hataki asepe....huyu mchaga niliyenae ngoja nianze kumtoka nduki nsije banikwa na mm
Ndiyoo...Hahahaha aisee... basi naona mpk twuta limeanza zoeleka. Japo nadhani ni wadau wa humuhumu wanapelekaga kule pia
hahahaha eti mpalestinaHama nchi atakusaka, nina bahati mademu wa kichaga niliokuwa nao tumeshapigana chini maana kuna kipindi mipango yangu ya mapene ilishuka. Kwa sasa akija mpalestina lazima nikabidhi mali zote kwa mama tuanze naye mikono tupu......kama hataki asepe....
muda tu ndiyo utasemaMaskini. I feel u. Inaumizaa. Ila niliapa, naolewa leo hii, eti nitoe hela ya mahari ninpe jamaa akanilipie, ama nijinunulie gauni ya harusi ama pete. Varimu vangwae. Ngife sha kite cha msio. Mbutukuna ehh. Ngebaaliya ado kuee. Bora nilishe familia miaka yote ila siyo hilo.
Unajua mkuu, ukioa mpalestina usijiweke kimbelembele kwamba unamiliki chochote, kama ni nyumba au magari mwache aandike jina lake na watoto wake, wee kaa pembeni kabisa na kama kaamua kukutimua beba begi lako la nguo sepa....hahahaha eti mpalestina
Wachaga ni wabahili hatare[emoji23][emoji23] wana pora pesa za Dada zetu wana weka bando wanakuja kuwatukana huku kwenye mitandao mkuu!
wanyooshwe tu!
Dada zetu wapole sana ila wana pewa sifa mbaya za uwongo!
mbaya zaidi wana wadanganya na kuwa geuza Dada zetu ATM za bure
zamani mkuu ziku hizi Dada zetu wana honga na sisi tuna hongaWachaga ni wabahili hatare
Halaf anaonekana kichwa yake sio nzuri..hapo ndo amekaa pozi la kujibebisha.. lakin sura yake bado ipo kihasira hasira tu.. sijui akikasirika anakuajeMiaka 25 ndio anaoneka hivyo? Mbona kama 55?
Yani Sana marehem alikuaMwamba kaamia ukweni kabisa [emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio imenikata maini yani! Kimsingi Marehemu amezingua sana RIP
Hahahahahah nimecheka knomaπππ mkuu hebu niache kidogoUnajua mkuu, ukioa mpalestina usijiweke kimbelembele kwamba unamiliki chochote, kama ni nyumba au magari mwache aandike jina lake na watoto wake, wee kaa pembeni kabisa na kama kaamua kukutimua beba begi lako la nguo sepa....
Hahahahahah kumbe ndio maana una hasira π π π dada zenu wantupenda vijana wa mjini sababu tu vitu flani adimu sana ambavyo vijana wa migombani kwa wala mbege hawana!kweli kabisa mkuu hawanaga shidah watu wana wazinguaga tu!
Me Dada yngu katoa tarifa nina kuja kuwatambulisha mchumba wangu na tumesha panga na siku ya kufunga ndoa
hakutaka kuhojiwa wala mazungumzo mengi siku imefika nipo kwenye angle 45Β° kwenye kuta nina sikia sister ana ongea nimesha kutumia laki 7 ongezea chukuwa suti nyeusi na viatu π
nikatambaa zangu taratibu maana ni haki yake ila angejisikia vibaya pengine akijuwa nime sikia!!
muda umefika mjuba kaibuka suti yake nyeusi!
anyway ndio maisha kupanga ni kuchagua nina waombea Mungu ila sijui siku wakizinguana itakuwaje nina uona uwekezaji unaendela!!
Ngoja nimsake dadaako mmoja aisee wana roho nzuri sana hao!mkuu bila kunywa vichwa vitapasuka πππ
wa chukuweni kwa wingi wakiwa na watoto tuna furahi sana kuwa na wajomba sana aisee me nimechagua kumlipia mjomba wangu mmoja ada !
Maana nina mpenda sana mjomba nina muitaga Ndugai maana ni wapande hizo!
Hilo neno asili yake ni Moshi na kule maneno mengi wanakopaga Kenya π π πSi ni bora umelala yooh baba umelala huku ukiwa umekula mbususu?[emoji23][emoji23]
Hivi wadah hili neno la mbususu limetokea wapi? Nini source ya hili neno...[emoji23][emoji23] its very funny
Ni mtihani mkubwa sana mkuu......ila chukulia ndo umeshanasa kwa mpalestina unafanyaje?Hahahahahah nimecheka knomaπππ mkuu hebu niache kidogo
Dada zangu bana wana vurugwa wakisikia tu rafiki yake Kaole na yeye ata taka kuolewa ata kwa kuonga mali za uridhi alizo achiwa ilimradi tu atulize moyo wake kumbe wapi mnawapiga Pesa bila huruma mamaeee ππππHahahahahah kumbe ndio maana una hasira π π π dada zenu wantupenda vijana wa mjini sababu tu vitu flani adimu sana ambavyo vijana wa migombani kwa wala mbege hawana!
Suti laki 7 jamaa ametekenya kwa mpenzi wake ambaye ndio dada yako ili aje kujitambulisha kwenu π π π tuwaombee uzima tu jamani. Mapenzi yao yako full chaji!!!