witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
We usimwambie sitisha tuu[emoji848]nimeshaacha miss pablo sirudiii tena tatizo kumwambia siku feel namuonea huruma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We usimwambie sitisha tuu[emoji848]nimeshaacha miss pablo sirudiii tena tatizo kumwambia siku feel namuonea huruma
[emoji23][emoji23] na kinondoni.. mijimama ya town. We chepuka kimyakimya na mm nakumaliza kimya kimya
Mkuu wewe acha tu hawa wanawake sio kabsa.Malizia story mkuu..
Bora tuwaambie wapone bana wengi wameuliwa kimya kimya Kuna dada nilikutana naye akasema mume wake ana msumbua alimtaftia sumu Ina mkula taratibu na kalazwa muhimbili anajifia. Mapenzi ni hatari Sana mapicha yakizidi zidi heri mutengane hata kwa mda
[emoji23][emoji23][emoji1787]Hii thread ifike mwisho hapa. Watu waende mishe zingine[emoji23]
Ila bora marehemu hata alikufa amekojoa. Kaenda mwepesi kwa namna yake. Jiule na wewe, je.. utakufa baada ya kukojoa kama mwendazake? Utapatiwa mbusus ufe kifo cha utramu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kisasi chetu hata shetani huparade...[emoji23][emoji23] wanawake mumepinda aisee [emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2307][emoji2307][emoji2307]Na hiyo siku unanikojoza ndo mkojo wako unakuondoa mazimaa[emoji23][emoji23]
Si ni bora umelala yooh baba umelala huku ukiwa umekula mbususu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2307][emoji2307][emoji2307]
Yes dear...hata family friend wetu mbaba alipewa sumu na mke wake...yule baba ana Mungu asee[emoji2296][emoji2296][emoji2356][emoji17]
We oa tyu mmakonde mwezako tuachie sisi hao wachaga wanajua nini maana ya uchumi, we komaa tu na mapenzi kama yanalipia watoto adaNanyi hamsikii, utaoaje mchaga? Yale Ni mauaji makatili linapokuja suala la pesa. Na Wala so mapenzi, wachaga hawana mapenzi, Ni pesa
Nipe bhac huo mchongo wa kupunguzana hamu bestie [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]Kuchezea hisia za mtu huwa ni hatari Mimi simshangai neema kupenda ni kubaya Sana aisee hasa ukitendwa navunaye mpenda unaweza tenda kitu kibaya Sana, Mimi nikishaona hamna maelewano full udaganyifu kuliko nije nifanye kitu mbaya tuachane tu mazima na sirudii nyuma, ndio maana Bora kuwa na mtu wa hamu ikiisha pita na njia zako. Mimi silaumu anayeua kisa mapenzi. Love is a serious mental problem
Dah aisee mbona balaaIsome hii comment ya cariha vizuri ina madini ya kutosha, hii siri sikutaka kuisema ila huyu cariha kaitaja hapa
Wanaume wengi sana wanauliwa kwa sumu ya pole pole, kimya kimya..
Wamama wa Sinza ndo vinara wa huu mchezo[emoji22][emoji848]
Ni balaa
Ila bora marehemu hata alikufa amekojoa. Kaenda mwepesi kwa namna yake. Jiule na wewe, je.. utakufa baada ya kukojoa kama mwendazake? Utapatiwa mbusus ufe kifo cha utramu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kisasi chetu hata shetani huparade...
Bora wachaga vita vyao ni Physical unaweza kupambana, kuliko makabila yenu ambayo angeeenda kumloga kumtupia majini ya kila aina na kumtesa vikali kabla ya kifoWachaga wa Machame wamefanya tukio tena. Rip mwana tulimshauri sana juu ya wanawake wa kichaga akakaiidi. Ona sasa.
For sure adse ...Huwa mwanamke akifikia point hii hajali asee...
Huko gerezani ndo sense zitamrudia, kilio cha kusaga meno
Yes dear...hata family friend wetu mbaba alipewa sumu na mke wake...yule baba ana Mungu asee
Ikawa imereact mapema akaenda India maana alipatwa na brain tumor hadi sasa hayuko sawa yaan, akili zinaingia zinatoka
Ukiona huo mshono kichwani utamuonea huruma!
Ila kaachana na mke wake baada ya kupona!
Hehehe mwanamke anawaza kujenga kijana anawaza kwenda Kidimbwi,Tipsy na Samaki Samaki kushindana kulewa na picha kaliAt 25 tayari mwanamke anawaza kusettle na kuwa na familia, kwa wanaume hapo ndo kwanza anawaza kuruka ruka, angalau me wakigonga 30 akili inawaza kutulia.
Hilo ndilo neno la Bwanaaaa...Wanaume wawe makini sana na matendo yao kwa nyakati hizi hususani yale wanayowafanyia wanawake zao . Unyonge wa mwanamke usikufanye umuumize kihisia. Siku akivuka mstari wa uvumilivu atafanya jambo gumu sana, anaweza kufanya kimya kimya au kwa uwazi ila lazima litakugharimu maisha yako. Wanaume ishini na wake zenu kwa akili kama neno la Mungu lilivyoagiza.
Bado sio suluhisho ...Hahaha asante studio. Tumekoma ndugu. Tumejifunzaa. Ila wanatoaga kwa wanaowapenda tu. Kwa wale wanaowatumia ndo huwa wanataka kuchuna tu. Dawa ni hakuna kutoa