Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Dar: Grace Mushi ambaye alimchomea ndani Mpenzi wake, akamatwa na Polisi

Bora tuwaambie wapone bana wengi wameuliwa kimya kimya Kuna dada nilikutana naye akasema mume wake ana msumbua alimtaftia sumu Ina mkula taratibu na kalazwa muhimbili anajifia. Mapenzi ni hatari Sana mapicha yakizidi zidi heri mutengane hata kwa mda

[emoji2296][emoji2296][emoji2356][emoji17]
 
[emoji23][emoji23] wanawake mumepinda aisee [emoji119]
Ila bora marehemu hata alikufa amekojoa. Kaenda mwepesi kwa namna yake. Jiule na wewe, je.. utakufa baada ya kukojoa kama mwendazake? Utapatiwa mbusus ufe kifo cha utramu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kisasi chetu hata shetani huparade...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji2307][emoji2307][emoji2307]
Si ni bora umelala yooh baba umelala huku ukiwa umekula mbususu?[emoji23][emoji23]

Hivi wadah hili neno la mbususu limetokea wapi? Nini source ya hili neno...[emoji23][emoji23] its very funny
 
[emoji2296][emoji2296][emoji2356][emoji17]
Yes dear...hata family friend wetu mbaba alipewa sumu na mke wake...yule baba ana Mungu asee

Ikawa imereact mapema akaenda India maana alipatwa na brain tumor hadi sasa hayuko sawa yaan, akili zinaingia zinatoka

Ukiona huo mshono kichwani utamuonea huruma!

Ila kaachana na mke wake baada ya kupona!
 
Nanyi hamsikii, utaoaje mchaga? Yale Ni mauaji makatili linapokuja suala la pesa. Na Wala so mapenzi, wachaga hawana mapenzi, Ni pesa
We oa tyu mmakonde mwezako tuachie sisi hao wachaga wanajua nini maana ya uchumi, we komaa tu na mapenzi kama yanalipia watoto ada
 
Kuchezea hisia za mtu huwa ni hatari Mimi simshangai neema kupenda ni kubaya Sana aisee hasa ukitendwa navunaye mpenda unaweza tenda kitu kibaya Sana, Mimi nikishaona hamna maelewano full udaganyifu kuliko nije nifanye kitu mbaya tuachane tu mazima na sirudii nyuma, ndio maana Bora kuwa na mtu wa hamu ikiisha pita na njia zako. Mimi silaumu anayeua kisa mapenzi. Love is a serious mental problem
Nipe bhac huo mchongo wa kupunguzana hamu bestie [emoji4][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Isome hii comment ya cariha vizuri ina madini ya kutosha, hii siri sikutaka kuisema ila huyu cariha kaitaja hapa

Wanaume wengi sana wanauliwa kwa sumu ya pole pole, kimya kimya..

Wamama wa Sinza ndo vinara wa huu mchezo[emoji22][emoji848]

Ni balaa
Dah aisee mbona balaa
 
Ila bora marehemu hata alikufa amekojoa. Kaenda mwepesi kwa namna yake. Jiule na wewe, je.. utakufa baada ya kukojoa kama mwendazake? Utapatiwa mbusus ufe kifo cha utramu?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] kisasi chetu hata shetani huparade...

Wanaume wawe makini sana na matendo yao kwa nyakati hizi hususani yale wanayowafanyia wanawake zao . Unyonge wa mwanamke usikufanye umuumize kihisia. Siku akivuka mstari wa uvumilivu atafanya jambo gumu sana, anaweza kufanya kimya kimya au kwa uwazi ila lazima litakugharimu maisha yako. Wanaume ishini na wake zenu kwa akili kama neno la Mungu lilivyoagiza.
 
Nilishaambiwa nisioe mwanamke wa kichaga ......huwa ni wasenge sanaa. K hawajui kuiweka vizur ichakatwa ilaaa wana wivu tu na kupenda hela
 
Wachaga wa Machame wamefanya tukio tena. Rip mwana tulimshauri sana juu ya wanawake wa kichaga akakaiidi. Ona sasa.
Bora wachaga vita vyao ni Physical unaweza kupambana, kuliko makabila yenu ambayo angeeenda kumloga kumtupia majini ya kila aina na kumtesa vikali kabla ya kifo
 
Yes dear...hata family friend wetu mbaba alipewa sumu na mke wake...yule baba ana Mungu asee

Ikawa imereact mapema akaenda India maana alipatwa na brain tumor hadi sasa hayuko sawa yaan, akili zinaingia zinatoka

Ukiona huo mshono kichwani utamuonea huruma!

Ila kaachana na mke wake baada ya kupona!

Kaachana nae lakini kilema na mateso kavipata. Wanaume waishi na wake zao kwa akili, vinginevyo mateso hayataisha kwao. Visasi vya wanawake havifai kabisa
 
At 25 tayari mwanamke anawaza kusettle na kuwa na familia, kwa wanaume hapo ndo kwanza anawaza kuruka ruka, angalau me wakigonga 30 akili inawaza kutulia.
Hehehe mwanamke anawaza kujenga kijana anawaza kwenda Kidimbwi,Tipsy na Samaki Samaki kushindana kulewa na picha kali
 
Wanaume wawe makini sana na matendo yao kwa nyakati hizi hususani yale wanayowafanyia wanawake zao . Unyonge wa mwanamke usikufanye umuumize kihisia. Siku akivuka mstari wa uvumilivu atafanya jambo gumu sana, anaweza kufanya kimya kimya au kwa uwazi ila lazima litakugharimu maisha yako. Wanaume ishini na wake zenu kwa akili kama neno la Mungu lilivyoagiza.
Hilo ndilo neno la Bwanaaaa...

Misa imeisha jamani[emoji23]
 
Hahaha asante studio. Tumekoma ndugu. Tumejifunzaa. Ila wanatoaga kwa wanaowapenda tu. Kwa wale wanaowatumia ndo huwa wanataka kuchuna tu. Dawa ni hakuna kutoa
Bado sio suluhisho ...
 
Back
Top Bottom