Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Ni jana tu mh.Tundu Lissu amemfananisha mh.Rais Samia SH na hayati Magufuli....kwa KEBEHI NA KEDI amemuita "she is a female JPM".....

Hayo maneno yalifuatia vile VITISHO NA JAZBA aliyoipandisha mh.Mbowe pale ukumbini.....then leo BAWACHA wanakutana........mmmh hapa lazima uwe na WASIWASI.....hata kama BAWACHA wanakutana tu kwa Mambo yao.....

Ikumbukwe Serikali zote zinafanya hayo.....
 
Umeishia darasa la ngapi ?
 
Kama hii ni kweli kama inavyoripotiwa hapa basi nitajua ni wazi kabisa kwamba viongozi wa CCM ni kizazi cha nyoka.

Tutakuwa taifa ambalo watu wake ni wa mwisho duniani kwa kukosa uhuru. Na nitasema heri hata wakati wa mkoloni wa Kiingereza. Ukoloni wa CCM ni ukoloni wa kutisha, kuteka, kubambikia makesi na kuua?

Mama unanihuzunisha sana. Just when we thought we were getting to the top we find that we have hit bottom!!!!!
 
Polisi nao sometime kama wehu ,sasa kikao cha bawacha wanaongelea mambo yao wanawahofia nini? Kama watu wanataka kuongea mambo ya uhasi wangefanyia hadharani? wawaache wajifurahishe ,kuzuia zuia mambo kama hayo yanarudisha uchumi nyuma ,ebu fikiria ajira za wanaokodisha viti ,ajira za wapambaji ,fikiria vinywaji vitakavyouzwa,mafuta ya magari au ubber ,bajaji etc
 

 
Mkuu kazi ya POLISI ni miongoni mwa hizo kaka.....

Jana MBOWE AMENG'AKA kwa JAZBA KALI....

Akafuatiwa na Mh.Tundu Lissu kwa KUMSHAMBULIA RAIS na kumfananisha na hayati JPM Kikebehi na Kedi tele....

Leo BAWACHA wanakutana...

Hata ingekuwa wewe ndiye AFANDE MULIRO....usingetaka KUUNGANISHA DOTS na KUANTICIPATE yajayo ?!!!
 
Ukiona unafurahia mateso ya wenzio, jua Shetani anafanya kazi ndani yako.
 
Si kweli kwamba serikali zote zinafanya hivyo. Nimeishi nchi 6 tofauti, na ni moja tu kati hizo niliona serikali ni onevu kama hii ya CCM. Watu wengi wanaishi kwenye mazingira huru. Tanzania kwenyewe utawala wa Mwalimu na wa Mwinyi ulikuwa hauna uozo huu wa uonevu.

Nilidhani Mama ni mcha Mungu wa kweli anayechukia uonevu na dhuluma, ila kwa hali hii naanza kuona labda hata yeye kaoza tu kama viongozi wengine wa CCM. Hiki Chama ni ukoma kwa taifa letu. Mimi sina chama but I can smell rubbish a mile away.
 
FunzA
 

Kuzuia mikutano ni upuuzi na ujuha ,mikutano ina hathari gani? Kwani wanapanga kupindua nchi au kufanya ugaidi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…