Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Remember , What goes around comes around
Uonevu upi mkuu ?!!Si kweli kwamba serikali zote zinafanya hivyo. Nimeishi nchi 6 tofauti, na ni moja tu kati hizo niliona serikali ni onevu kama hii ya CCM. Watu wengi wanaishi kwenye mazingira huru. Tanzania kwenyewe utawala wa Mwalimu na wa Mwinyi ulikuwa hauna uozo huu wa uonevu.
Nilidhani Mama ni mcha Mungu wa kweli anayechukia uonevu na dhuluma, ila kwa hali hii naanza kuona labda hata yeye kaoza tu kama viongozi wengine wa CCM. Hiki Chama ni ukoma kwa taifa letu. Mimi sina chama but I can smell rubbish a mile away.
Tayari utawala wa awamu ya sita unarudi kulekule walipofeli utawala wa awamu ya tano, yaani kushindwa kuvumilia hata haki ya kukusanyika Katika ukumbi.
Mkuu BAK mnatengeneza "series" wenyewe halafu mnawaita wengine wahuni na wasiojitambua?!!!Mkuu usipoteze muda wako na wale wasiojitambua wao wameamua kuukumbatia udikteta na uhuni bila kuona athsri zake kubwa kwa Taifa.
Mkuu BAK mnatengeneza "series" wenyewe halafu mnawaita wengine wahuni na wasiojitambua?!!!
Hivi KUJITAMBUA kunahusisha pia kuyatoa yale maneno aliyoongea mh.Mbowe juzi ?!!!
Akafuatia mh.Tundu Lissu kwa kumwita "kipenzi chenu na chetu mh.SSH" kuwa ni MAGUFULI na mwenye umagufulism....hivi maneno yale hayakuwa kedi na kebehi kwa "kipenzi chenu na chetu SSH"?!!
Hivi TL anajitambua vyema kwa kung'aka kuwa MAPAMBANO YAMEANZA NA KWA HERI AMA KWA SHARI...katiba MPYA Ni lazima ipatikane?
🤣🤣🤣Samia ni dhalimu na dikteta kama yule mwendazake. Soon ataanza kubambikia watu kesi kupitia polisiccm na mikono yake itatapakaa damu.
Serikali zipi hizo zinazotuma askari kusimamia shughuli ya wakina mama wa chama cha upinzani?Ni jana tu mh.Tundu Lissu amemfananisha mh.Rais Samia SH na hayati Magufuli....kwa KEBEHI NA KEDI amemuita "she is a female JPM".....
Hayo maneno yalifuatia vile VITISHO NA JAZBA aliyoipandisha mh.Mbowe pale ukumbini.....then leo BAWACHA wanakutana........mmmh hapa lazima uwe na WASIWASI.....hata kama BAWACHA wanakutana tu kwa Mambo yao.....
Ikumbukwe Serikali zote zinafanya hayo.....
Ficha ujinga wakoPolisi nao wanazidi muwachekea, piga rungu hao watawanyike kwa nguvu
Kwa hiyo wameamua kuendelea na hafla iwe kwa heri au kwa shari? Au wameamua kupotezea wakaenda zao home?Wanawake wa BAWACHA wamegomea masharti hayo, wanataka wawe huru kufanya mambo yao.
Prof. Mussa Assad : Katiba Mpya Ni Lazima, Bila Katiba Mpya Nchi Itazidi Kuathirika. Katiba inaweka mipaka, bila katiba Mpya viongozi wanakosa mipaka.... na ni muhimu kulifanya sasa hivi kutokana na tuliyopitia na kuyaona hivi karibuni ...
🤣🤣🤣
Mkuu BAK una maneno makali sana.....
Hivi mh.SSH huo udhalimu ameuanza lini ?!!
Hivi kweli DHALIMU anaweza kwenda Kenya kumuona mh.TL akiwa mgonjwa?!!!
Hivi kweli DHALIMU anaweza kushajiisha kesi ZIISHE mahakamani kwa KUENDESHWA na kutolewa hukumu haraka KULIKOPELEKEA Mh.Mbowe kushinda.....Mdude Nyagali kushinda...Sabaya kukamatwa....CDM kurudishiwa milioni 300.....Uamsho kutolewa....Singh Seth kufanya PLEA BARGAIN...na wengine wengi tu.....looh kweli MDOMO JUMBA LA MANENO.....🤣🤣🤣
Nyamaza huna hoja msomali wewe au unataka tukuanike mshenzi wewe?Wazee wa SIASA za matukio tena....
Kuna wakati mnawalaumu tu POLISI....
Kuna kitu leo nishee hapa....
Hivi mnajua kuwa KUIJENGA NCHI NA KUISIMAMISHA NI KAZI SANA ZAIDI YA KUIBOMOA?!!!
Nchi inasimamiwa na Serikali iliyoko madarakani....
Na Serikali yoyote ile duniani Ni lazima IOGOPE machafuko/mapinduzi kwa FAIDA YA NCHI ,watu wake na VIONGOZI WA HIYO SERIKALI....
Sasa huwa tunawalaumu sana Polisi wa hizi nchi zetu za Afrika wakati mwingine KIHISIA TU.....
Hebu tufikiri hivi.....
Ni juzi tu mh.Mbowe AMENG'AKA MNO.....aliyoyaongea jukwaani ni "alarming point" kwa SERIKALI yoyote hata ingekuwa ni ya CHADEMA....
Baada ya "kung'aka kwake" yakafuata matamko ndani na nje ya nchi....haswa kutoka kwa mh.Tundu Lissu kuwa ,kuhusu KATIBA MPYA ni lazima ipatikane kwa HERI AMA KWA SHARI ....so put yourself in that position....would you let things going without putting your nose on it?!!!
TUTAFAKARI JAMA.....
POLISI WAKO SAHIHI NANYI BAWACHA....2 months ago ,BAWACHA from LAKE ZONE wanted to demonstrate in Dodoma against Speaker's decision on "Covid-19 members of parliament's" before cancelling their gathering following Police's ban.....
Jamani jama ,NCHI HA ZIENDESHWI KILIBERALI eti tu kwa kuwa Kuna UHURU WA VYAMA VYA UPINZANI...UHURU WA KUKUSANYIKA.....
#KaziIendelee
Usitake kumuhusisha mama kwenye matatizo yenu. Endeleeni na sarakasi zenu.Jana Lissu alisema Mwendazake amekufa lakini waliokua wakimsaidia kutesa na kuumiza watu hawajafa. Bado wapo. Wanaweza kuwa wameficha makucha tu kwa muda lakini wakishamsoma mama, watarudi tu.
Na hiki ndicho kilichotokea. Polisi wenye silaha wamezingira ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni kuzuia hafla ya chakula cha jioni iliyoandiwa na Baraza la wanawake la Chadema (BAWACHA).
Iko hivi, Bawacha wameandaa hafla ya kuwakutanisha wanawake wa Chadema kubadilishana mawazo na kuzungumza mambo yao kama akina mama.
Wakaandika barua kwa Mkurugenzi kumpa taarifa. Lakini Mkurugenzi akasema wapeleke maombi yao kwa DC. Wakapeleka barua kwa DC Gondwe. Katika hali ya kushangaza Gondwe eti nae akaagiza barua ipelekwe kwa RC. Yani danadana zisizo na ulazima wowote. Yani akina mama kukaa na kula kuku zao hadi RC atoe ruhusa?
Anyway, barua ikapelekwa kwa RC lakini Makalla akaingia mitini. Hataki kujibu. Baada ya kusumbuliwa sana akaagiza waende kwa RPC Kinondoni. RPC kaagiza waende kwa OCD Oysterbay. OCD akaruhusu hafla ifanyike kwa masharti yafuatayo;
1. Pasiwepo na mziki.
2. Pasiwepo na pombe.
3. Hafla ifanyike kwa dakika 30 tu.
4. Askari waingie ukumbini kusikiliza wanachojadili.
5. Wakimaliza kula watawanyike haraka.
Wanawake wa BAWACHA wamegomea masharti hayo, wanataka wawe huru kufanya mambo yao.
#MyTake;
Mama kemea hawa watu watakuharibia sasa hivi. Hawa akina mama ni wanawake wenzako. Wameamua kukaa, kula na kujadili mambo yao. Kwanini wananyanyaswa? Mwendazake aliwabagua watu kwa vyama vyao. Wapinzani wakawa mistreated kama vile magaidi. Wakapigwa, wakateswa na kunyanyaswa bila sababu.
Wewe ulianza vizuri kwa kuliunganisha taifa. Ukaahidi kuganga makovu yetu. Ukasema tusahau yaliyopita na tufute machozi. Lakini badala ya kutufuta machozi, mbona watu wako wameanza kutuletea machozi tena? Tafadhali wakemee. Jana tumefanya kongamano zuri la Katiba, na dunia imekupongeza kwa sababu polisi hawakutusumbua. Lakini leo hawa akina mama wanasumbuliwa? What happened?
Askari hawakutumwa kusimamia SHUGHULI ya BAWACHA... mkuu mbona unaongeza "mbirimbi"?!!!Serikali zipi hizo zinazotuma askari kusimamia shughuli ya wakina mama wa chama cha upinzani?
Amandla...
Wanamuomba Mama akemee. Akemee nini??Wazee wa SIASA za matukio tena....
Kuna wakati mnawalaumu tu POLISI....
Kuna kitu leo nishee hapa....
Hivi mnajua kuwa KUIJENGA NCHI NA KUISIMAMISHA NI KAZI SANA ZAIDI YA KUIBOMOA?!!!
Nchi inasimamiwa na Serikali iliyoko madarakani....
Na Serikali yoyote ile duniani Ni lazima IOGOPE machafuko/mapinduzi kwa FAIDA YA NCHI ,watu wake na VIONGOZI WA HIYO SERIKALI....
Sasa huwa tunawalaumu sana Polisi wa hizi nchi zetu za Afrika wakati mwingine KIHISIA TU.....
Hebu tufikiri hivi.....
Ni juzi tu mh.Mbowe AMENG'AKA MNO.....aliyoyaongea jukwaani ni "alarming point" kwa SERIKALI yoyote hata ingekuwa ni ya CHADEMA....
Baada ya "kung'aka kwake" yakafuata matamko ndani na nje ya nchi....haswa kutoka kwa mh.Tundu Lissu kuwa ,kuhusu KATIBA MPYA ni lazima ipatikane kwa HERI AMA KWA SHARI ....so put yourself in that position....would you let things going without putting your nose on it?!!!
TUTAFAKARI JAMA.....
POLISI WAKO SAHIHI NANYI BAWACHA....2 months ago ,BAWACHA from LAKE ZONE wanted to demonstrate in Dodoma against Speaker's decision on "Covid-19 members of parliament's" before cancelling their gathering following Police's ban.....
Jamani jama ,NCHI HA ZIENDESHWI KILIBERALI eti tu kwa kuwa Kuna UHURU WA VYAMA VYA UPINZANI...UHURU WA KUKUSANYIKA.....
#KaziIendelee