Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
🕺🕺Utanipa heshima yangu eee ,au nitaichukua kwa nguvu × 2🕺🕺💃💃Potelea maporomokoni.
Yaani mtu mumtukane tu awaangalie eti kwa kuwa mlidhani ni mcha Mungu?? Never on earth.
Miongoni mwa mafundisho ya mwanzo kabisa mtu anayopaswa kuyapata ni namna ya kutuma heshima yake.
Kuna msanii aliimba "utanipa heshma yangu au nitaichkua kwa nguvu"
Yaani nyinyi watu hamtaki kabisa kuongozwa kistaarabu. Mnataka muongozwe kama mapunda. Sasa si mnaleta undezi?? Hatutaki kuskia vilio pale mambo yakipamba moto