Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

🤣🤣

Mkuu kwa hiyo Sabaya akitoka anatukimbia CCM ?!!!

Mmmmh 🤣🤣
Mkuu sabaya aje kwenye Chama cha kuisaidia serikali kwenye mambo nyeti kama vita dhidi ya Rushwa, yaani sheria ya kwanza ya Newton inasema nguvu chanya ya nje huleta mabadiliko chanya sasa upinzani tulionao una nguvu hasi tunataka nchi itulie
 
Mkuu sabaya aje kwenye Chama cha kuisaidia serikali kwenye mambo nyeti kama vita dhidi ya Rushwa, yaani sheria ya kwanza ya Newton inasema nguvu chanya ya nje huleta mabadiliko chanya sasa upinzani tulionao una nguvu hasi tunataka nchi itulie
🤣🤣

Sawa Komredi....

Ha ha ha
 
🤣🤣Ha ha ha komredi buaanaa....

Ilikuwepo CCJ....
Ilikuwepo CCK...

Magufuli ataishi ndani ya CCM mkuu.....

#AliianzaKazi
#LeoInaendelea
Nia yetu ni kuwasukuma viongozi wa CCM wanaojisahau kwa sababu tukiwa wana CCM woote tutaogopa kumkosoa mwenyekiti inahitajika external force yenye constructive ideas
 
CCM wakoloni weusi wanajiona wana haki ya kutawala kuliko wengine, kihistoria vyama kama hivi vikishindwa uchaguzi mara zote ndio mwisho wake na vinakufa moja kwa moja na vinapigwa marufuku kufanya siasa tena, CCM wakishindwa viongozi wake wote wataishia kukamatwa na kuishia jela tuu, hiyo siku inakuja, CCM ni kikundi cha wahalifu sio chama kile
 
Mkuu kazi ya POLISI ni miongoni mwa hizo kaka.....

Jana MBOWE AMENG'AKA kwa JAZBA KALI....

Akafuatiwa na Mh.Tundu Lissu kwa KUMSHAMBULIA RAIS na kumfananisha na hayati JPM Kikebehi na Kedi tele....

Leo BAWACHA wanakutana...

Hata ingekuwa wewe ndiye AFANDE MULIRO....usingetaka KUUNGANISHA DOTS na KUANTICIPATE yajayo ?!!!
Mkuu huchoki tu,au we ndo mama mwenyewe?.
 
Jana tumefanya kongamano zuri la Katiba, na dunia imekupongeza kwa sababu polisi hawakutusumbua. Lakini leo hawa akina mama wanasumbuliwa? What happened?
Mkuu, tafakari vizuri.

Inawezekana kabisa haya ni matokeo ya jana.

Wewe unaweza kuwa unasifu, kumbe wenzako waliyoyasikia yaliwachoma mioyo. Leo wakaamua kufanya kweli.

Usiwe mwepesi wa kusifu.
 
Samia ni Magufuli wa kike.Muda siyo mrefu ataanza kutumia damu za watu kama mafuta/fuel ya kuendeshea serikali kama mtangulizi wake.Muda siyo mrefu ataanza kuishi kwa kula nyama za watu kama mtangulizi wake.

Nilisema sana hapa kuwa she is inept leader kwa sababu ana laana za mtangulizi wake nikawa nabezwa.
 
Baada ya Mwamba Mbowe kuwasili polisi wamekimbia na Hafla ya bawacha inaendelea , Pole sana kwa kutwanga maji kwenye kinu
🤣🤣

Mkuu RBC Polisi wala hawakuja kuwatimua WATANZANIA wenzao....

Uwepo wa POLISI kwa ajili ya usalama wetu Raia unakushtua vipi ?!!
 
Back
Top Bottom