kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,780
- 673
Hayo yametokea saa ngapi? Maana ripoti unaleta alfajiri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao kina mama wanatelekeza familia zao wanakimbilia siasa usiku ;Jana Lissu alisema Mwendazake amekufa lakini waliokua wakimsaidia kutesa na kuumiza watu hawajafa. Bado wapo. Wanaweza kuwa wameficha makucha tu kwa muda lakini wakishamsoma mama, watarudi tu.
Na hiki ndicho kilichotokea. Polisi wenye silaha wamezingira ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni kuzuia hafla ya chakula cha jioni iliyoandiwa na Baraza la wanawake la Chadema (BAWACHA).
Iko hivi, Bawacha wameandaa hafla ya kuwakutanisha wanawake wa Chadema kubadilishana mawazo na kuzungumza mambo yao kama akina mama.
Wakaandika barua kwa Mkurugenzi kumpa taarifa. Lakini Mkurugenzi akasema wapeleke maombi yao kwa DC. Wakapeleka barua kwa DC Gondwe. Katika hali ya kushangaza Gondwe eti nae akaagiza barua ipelekwe kwa RC. Yani danadana zisizo na ulazima wowote. Yani akina mama kukaa na kula kuku zao hadi RC atoe ruhusa?
Anyway, barua ikapelekwa kwa RC lakini Makalla akaingia mitini. Hataki kujibu. Baada ya kusumbuliwa sana akaagiza waende kwa RPC Kinondoni. RPC kaagiza waende kwa OCD Oysterbay. OCD akaruhusu hafla ifanyike kwa masharti yafuatayo;
1. Pasiwepo na mziki.
2. Pasiwepo na pombe.
3. Hafla ifanyike kwa dakika 30 tu.
4. Askari waingie ukumbini kusikiliza wanachojadili.
5. Wakimaliza kula watawanyike haraka.
Wanawake wa BAWACHA wamegomea masharti hayo, wanataka wawe huru kufanya mambo yao.
#MyTake;
Mama kemea hawa watu watakuharibia sasa hivi. Hawa akina mama ni wanawake wenzako. Wameamua kukaa, kula na kujadili mambo yao. Kwanini wananyanyaswa? Mwendazake aliwabagua watu kwa vyama vyao. Wapinzani wakawa mistreated kama vile magaidi. Wakapigwa, wakateswa na kunyanyaswa bila sababu.
Wewe ulianza vizuri kwa kuliunganisha taifa. Ukaahidi kuganga makovu yetu. Ukasema tusahau yaliyopita na tufute machozi. Lakini badala ya kutufuta machozi, mbona watu wako wameanza kutuletea machozi tena? Tafadhali wakemee. Jana tumefanya kongamano zuri la Katiba, na dunia imekupongeza kwa sababu polisi hawakutusumbua. Lakini leo hawa akina mama wanasumbuliwa? What happened?
Bro unapotumia ANDIKO la mtu uwe una cite..Jana Lissu alisema Mwendazake amekufa lakini waliokua wakimsaidia kutesa na kuumiza watu hawajafa. Bado wapo. Wanaweza kuwa wameficha makucha tu kwa muda lakini wakishamsoma mama, watarudi tu.
Na hiki ndicho kilichotokea. Polisi wenye silaha wamezingira ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni kuzuia hafla ya chakula cha jioni iliyoandiwa na Baraza la wanawake la Chadema (BAWACHA).
Iko hivi, Bawacha wameandaa hafla ya kuwakutanisha wanawake wa Chadema kubadilishana mawazo na kuzungumza mambo yao kama akina mama.
Wakaandika barua kwa Mkurugenzi kumpa taarifa. Lakini Mkurugenzi akasema wapeleke maombi yao kwa DC. Wakapeleka barua kwa DC Gondwe. Katika hali ya kushangaza Gondwe eti nae akaagiza barua ipelekwe kwa RC. Yani danadana zisizo na ulazima wowote. Yani akina mama kukaa na kula kuku zao hadi RC atoe ruhusa?
Anyway, barua ikapelekwa kwa RC lakini Makalla akaingia mitini. Hataki kujibu. Baada ya kusumbuliwa sana akaagiza waende kwa RPC Kinondoni. RPC kaagiza waende kwa OCD Oysterbay. OCD akaruhusu hafla ifanyike kwa masharti yafuatayo;
1. Pasiwepo na mziki.
2. Pasiwepo na pombe.
3. Hafla ifanyike kwa dakika 30 tu.
4. Askari waingie ukumbini kusikiliza wanachojadili.
5. Wakimaliza kula watawanyike haraka.
Wanawake wa BAWACHA wamegomea masharti hayo, wanataka wawe huru kufanya mambo yao.
#MyTake;
Mama kemea hawa watu watakuharibia sasa hivi. Hawa akina mama ni wanawake wenzako. Wameamua kukaa, kula na kujadili mambo yao. Kwanini wananyanyaswa? Mwendazake aliwabagua watu kwa vyama vyao. Wapinzani wakawa mistreated kama vile magaidi. Wakapigwa, wakateswa na kunyanyaswa bila sababu.
Wewe ulianza vizuri kwa kuliunganisha taifa. Ukaahidi kuganga makovu yetu. Ukasema tusahau yaliyopita na tufute machozi. Lakini badala ya kutufuta machozi, mbona watu wako wameanza kutuletea machozi tena? Tafadhali wakemee. Jana tumefanya kongamano zuri la Katiba, na dunia imekupongeza kwa sababu polisi hawakutusumbua. Lakini leo hawa akina mama wanasumbuliwa? What happened?
Mama ameshaanza kuweweseka kama alivyokua Jiwe mwendazake.RBC ndugu yangu unaweka visasi moyoni eee?!!
Haya mkiichukua nchi mkatufunge katika gereza lililoko juu mlimani Kilimanjaro.....
Tatizo unakuwa so emotional kwa vitu vinavyotaka uhalisia tu.....
Hii ni fake ID! Umejuaje labda mimi ndo Malisa GJ??Bro unapotumia ANDIKO la mtu uwe una cute..
MALISA GJ.
STOP PLAGARISM
Punguza wizi wa akili za watu, jishughulishe kujitafakarisha.
#YNWA
Aiseee.. Cute mana ake nini!!!!!!!!🤔Bro unapotumia ANDIKO la mtu uwe una cute..
Unalinda nchi gani pambafBro wacha nilale mimi.
Nimetoka zangu kulinda nchi nakutana na uzi wa kiduwanzi huu.
Kazi inaendelea kesho in shaa Allah
Hata nyakati za Ukoloni wajinga waliokuwa wanajipendekeza walikuwepoWazee wa SIASA za matukio tena....
Kuna wakati mnawalaumu tu POLISI....
Kuna kitu leo nishee hapa....
Hivi mnajua kuwa KUIJENGA NCHI NA KUISIMAMISHA NI KAZI SANA ZAIDI YA KUIBOMOA?!!!
Nchi inasimamiwa na Serikali iliyoko madarakani....
Na Serikali yoyote ile duniani Ni lazima IOGOPE machafuko/mapinduzi kwa FAIDA YA NCHI ,watu wake na VIONGOZI WA HIYO SERIKALI....
Sasa huwa tunawalaumu sana Polisi wa hizi nchi zetu za Afrika wakati mwingine KIHISIA TU.....
Hebu tufikiri hivi.....
Ni juzi tu mh.Mbowe AMENG'AKA MNO.....aliyoyaongea jukwaani ni "alarming point" kwa SERIKALI yoyote hata ingekuwa ni ya CHADEMA....
Baada ya "kung'aka kwake" yakafuata matamko ndani na nje ya nchi....haswa kutoka kwa mh.Tundu Lissu kuwa ,kuhusu KATIBA MPYA ni lazima ipatikane kwa HERI AMA KWA SHARI ....so put yourself in that position....would you let things going without putting your nose on it?!!!
TUTAFAKARI JAMA.....
POLISI WAKO SAHIHI NANYI BAWACHA....2 months ago ,BAWACHA from LAKE ZONE wanted to demonstrate in Dodoma against Speaker's decision on "Covid-19 members of parliament's" before cancelling their gathering following Police's ban.....
Jamani jama ,NCHI HA ZIENDESHWI KILIBERALI eti tu kwa kuwa Kuna UHURU WA VYAMA VYA UPINZANI...UHURU WA KUKUSANYIKA.....
#KaziIendelee
Mama ambaye mnamletea jeuri asikilize nini sasa? Mwingine kwa kupenda kujimbafai eti anadai amepita katikati ya mitutu ya bunduki [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jana Lissu alisema Mwendazake amekufa lakini waliokua wakimsaidia kutesa na kuumiza watu hawajafa. Bado wapo. Wanaweza kuwa wameficha makucha tu kwa muda lakini wakishamsoma mama, watarudi tu.
Na hiki ndicho kilichotokea. Polisi wenye silaha wamezingira ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni kuzuia hafla ya chakula cha jioni iliyoandiwa na Baraza la wanawake la Chadema (BAWACHA).
Iko hivi, Bawacha wameandaa hafla ya kuwakutanisha wanawake wa Chadema kubadilishana mawazo na kuzungumza mambo yao kama akina mama.
Wakaandika barua kwa Mkurugenzi kumpa taarifa. Lakini Mkurugenzi akasema wapeleke maombi yao kwa DC. Wakapeleka barua kwa DC Gondwe. Katika hali ya kushangaza Gondwe eti nae akaagiza barua ipelekwe kwa RC. Yani danadana zisizo na ulazima wowote. Yani akina mama kukaa na kula kuku zao hadi RC atoe ruhusa?
Anyway, barua ikapelekwa kwa RC lakini Makalla akaingia mitini. Hataki kujibu. Baada ya kusumbuliwa sana akaagiza waende kwa RPC Kinondoni. RPC kaagiza waende kwa OCD Oysterbay. OCD akaruhusu hafla ifanyike kwa masharti yafuatayo;
1. Pasiwepo na mziki.
2. Pasiwepo na pombe.
3. Hafla ifanyike kwa dakika 30 tu.
4. Askari waingie ukumbini kusikiliza wanachojadili.
5. Wakimaliza kula watawanyike haraka.
Wanawake wa BAWACHA wamegomea masharti hayo, wanataka wawe huru kufanya mambo yao.
#MyTake;
Mama kemea hawa watu watakuharibia sasa hivi. Hawa akina mama ni wanawake wenzako. Wameamua kukaa, kula na kujadili mambo yao. Kwanini wananyanyaswa? Mwendazake aliwabagua watu kwa vyama vyao. Wapinzani wakawa mistreated kama vile magaidi. Wakapigwa, wakateswa na kunyanyaswa bila sababu.
Wewe ulianza vizuri kwa kuliunganisha taifa. Ukaahidi kuganga makovu yetu. Ukasema tusahau yaliyopita na tufute machozi. Lakini badala ya kutufuta machozi, mbona watu wako wameanza kutuletea machozi tena? Tafadhali wakemee. Jana tumefanya kongamano zuri la Katiba, na dunia imekupongeza kwa sababu polisi hawakutusumbua. Lakini leo hawa akina mama wanasumbuliwa? What happened?
Ndio huoSasa dakika 30 ndo mda gani huo
wameyachokozaaa, ya unguja yanakujaa. Mwenye kiranga halaliwi matanga.Mama anaanza spana tartiiiibu.
Mkivimbilwa amani ni kurudisha mode ya kabla ya siku mia na ushee hivi watu warudi Dubai huko maana amani hawaipendi.Asije kumlilia mtu
Kazi yao ni kuwalinda Raia na mali zao, sasa huwa mnadesturi mkishalewa mnaanguka mnavunjika na kuwasingizia watu sasa polisi wanatakiwa wawe hapo kuhakikisha mambo yanaenda sawia, msije kulewa mkahatarisha amani za raia wengine.Majukumu yao ni kusimamia shughuli za wakina mama?
Amandla...
Na wao BAWACHA kwanini wakatae polisi kuwemo ukumbini?Polisi nao sometime kama wehu ,sasa kikao cha bawacha wanaongelea mambo yao wanawahofia nini? Kama watu wanataka kuongea mambo ya uhasi wangefanyia hadharani? wawaache wajifurahishe ,kuzuia zuia mambo kama hayo yanarudisha uchumi nyuma ,ebu fikiria ajira za wanaokodisha viti ,ajira za wapambaji ,fikiria vinywaji vitakavyouzwa,mafuta ya magari au ubber ,bajaji etc
Unamfahamu Nyerere au unamsikia? Kwani akina Tintemeke na Kambona ilikuwaje?Si kweli kwamba serikali zote zinafanya hivyo. Nimeishi nchi 6 tofauti, na ni moja tu kati hizo niliona serikali ni onevu kama hii ya CCM. Watu wengi wanaishi kwenye mazingira huru. Tanzania kwenyewe utawala wa Mwalimu na wa Mwinyi ulikuwa hauna uozo huu wa uonevu.
Nilidhani Mama ni mcha Mungu wa kweli anayechukia uonevu na dhuluma, ila kwa hali hii naanza kuona labda hata yeye kaoza tu kama viongozi wengine wa CCM. Hiki Chama ni ukoma kwa taifa letu. Mimi sina chama but I can smell rubbish a mile away.
Wewe binti muongo kweli, mitutu ya bunduki ni hao akinamama wanaomsalamia Mbowe?Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo .
Ikumbukwe kwamba BAWACHA waliandaa hafla yao ya halali Mikocheni na kupeleka taarifa kwa DED kama sheria zinavyoelekeza , jambo ambalo limeiogopesha Mamlaka ya Tanzania .
Bawacha wamegoma kuendesha kongamano lao chini ya pingu za polisi .
View attachment 1838235
UPDATES
============
Video : Mwamba Mbowe awasili kwenye hafla hiyo huku akipenya katikati ya mitutu ya bunduki
View attachment 1838305