Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Dar: Hafla ya BAWACHA Mikocheni yazingirwa na Polisi, wapewa dakika 30 tu

Sasa hata Mikutano yetu ya ndani imepigwa marufuku.
ohnoway.png
 
Kama hawataki machafuku, Rais na CCM wafuate katiba na kutenda haki , mbona rahisi tu
 
Tayari utawala wa awamu ya sita unarudi kulekule walipofeli utawala wa awamu ya tano, yaani kushindwa kuvumilia hata haki ya kukusanyika Katika ukumbi.
CCM ni ileile, hakuna kitakacbobadilika!!!!!
 
Hii ni baada ya Polisi kuruhusu Bawacha wakutane kwa dk 30 tu huku polisi nao wakitaka kuwemo ndani ya ukumbi ili kusikia yanayozungumzwa , kabla ya ruhusa hiyo zimepigwa danadana kuanzia polisi kinondoni , DC hadi RC wakipiga danadana huku kila mmoja akijitoa asionekane kuruhusu jambo hilo .

Ikumbukwe kwamba BAWACHA waliandaa hafla yao ya halali Mikocheni na kupeleka taarifa kwa DED kama sheria zinavyoelekeza , jambo ambalo limeiogopesha Mamlaka ya Tanzania .

Bawacha wamegoma kuendesha kongamano lao chini ya pingu za polisi .

View attachment 1838235


UPDATES
============

Video : Mwamba Mbowe awasili kwenye hafla hiyo huku akipenya katikati ya mitutu ya bunduki

View attachment 1838305
Mwanzo mzuri wa rais, hawa ni kutokuwachekea...
 
Jana Lissu alisema Mwendazake amekufa lakini waliokua wakimsaidia kutesa na kuumiza watu hawajafa. Bado wapo. Wanaweza kuwa wameficha makucha tu kwa muda lakini wakishamsoma mama, watarudi tu.
Na hiki ndicho kilichotokea. Polisi wenye silaha wamezingira ukumbi wa Hekima Garden, Mikocheni kuzuia hafla ya chakula cha jioni iliyoandiwa na Baraza la wanawake la Chadema (BAWACHA)....
MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wazee wa SIASA za matukio tena....

Kuna wakati mnawalaumu tu POLISI..
Unapoeleza siasa za matukio huwa mnamaanisha nini sasa?Kila jambo liendelealo hapa duniani ni tukio haijalishi nani kafanya au anategemea kufanya.

Kwa hiyo watu wasiongee,wasitende,wasionye,wasikusanyike kuhofia masikini wa akili sampuli yako watasema siasa za matukio?Unajua hata weye unajambajamba hapa ni matukio ya kuzaliwa punguani.Acha kuandikaandika kimatukio.Ukiona matukio acha yatokee.😝😝😝😝😝
 
Wewe jamaa hunaga hata pointi Wala akili,
Unaweza kuandika Aya ndeeefu halafu ujinga mtupu.
Hapa ndugu umeandika ujinga tu.
Mikusanyiko ya CCM,wakikusanyika CDM Ni hatari.
Wewe Jamaa wewe mtupu kabisa kichwani.
Hata kama mnataka kuwabana Chadema tumieni akili,hivi mnadharaulika.
Muuza uyo
 
Back
Top Bottom