ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno
Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno
1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala
2 Mtu anaenda Tanga, Moshi, Arusha na aishi Bunju, Kawe, Tegeta Kuna haja haja Gani ya kwenda Mbezi Magufuli
3 Mtu anaenda Bukoba, Kahama, Mwanza anaishi Kinondoni, Sinza, Mabibo kwanini umsumbue arnde Mbezi badala ya Shekilango
4. Abiria ni wengi na miundo mbinu ya stend ni mibovu
5. Vyoo vya stand ya Magufuli vitaweza kuhimili population ya abiria zaidi ya 10,000 wanaosafiri mwisho wa mwaka?
Vyoo havitoshi
6. Ushuru na tozo ni mzigo Kwa abiria.
Abiria anakuja na tiketi Bado unataka alipe pesa ya kuingia stend, alipie choo, porter n. K
Why mnafurahia kuwasumbua Watanganyika?
7 Usumbufu wa Wapiga debe.
Abiria mgeni hajui chochote akifika stand anasongwa na Wapiga debe zaidi ya 30 na kumwibia na kuzubaisha hii sio sawa
8. Stand ni chafu inanuka mno
9 Hakuna waiting bench
Yaani abiria wanasimama wima wakisubiri gari.
Fikiria inakuwaje Kwa wazee, wajawazito, watoto na walemavu.
Kwanini upeleke population yote hii stand 1.
10. Chalamila umewaza mapato tu
11. CCM furaha yenu ni kuona Watanganyika wakiteseka