Dar haiwezi kuwa na bus stand Moja tu, Chalamila amewaza kupata Kodi sio huduma Bora Kwa abiria

Haya mawazo yako ni ya mtu mwenye udumavu wa akili.
Kuna watu Arusha, Tanga, Mwanza, Bukoba na kote nchini ambao ni watendaji wa kata, walimu, manesi, maaskari, madaktari n.k walioajiriwa na serikali kufanya kazi Mbagala, Vikindu, Kimbiji, Pembamnazi na kila mahali nchini.

Ni ujinga kusema hawa watu wote waombe serikali iwahamishie Ubungo ila wakae karibu na stendi hiyo yenu.
Ndy maana kukawa na uwepo wa kuomba uhamisho wa vituo vya kazi serikalini.
Pia huwezi ukachukuwa usumbufu wa watu wachache ukahamishia usumbufu kwa walio wengi hao manesi na walimu wa mbagala na vikindu wenyeji wa mikoa ya tanga Arusha nk hata mia moja hawafiki..
Huwezi sumbuwa watu million 2 kwa watu mia moja.
 
Umeandika ujinga sana, karne hii unaongelea hizo location zako?Watu wanaongelea globalization, mtu aishi Dar afanye kazi Dodoma - train za umeme zifanyekazi, wewe unaongelea Pemba mnazi na Magufuli??
Umekuja vzr sn,,
Kumbe kuna SGR now unaweza ukafanya kazi Dodoma na unaishi dar.

Ingekuwaje kama ungekuwa unaishi dar na unafanya kazi Dodoma na hakuna SGR ungemlaumu nani kwa kichelewa kufika Dodoma?

Ni vile vile kwenye issue ya Magufuli terminal,kaa kwenye mstari salama ili ufike stand kwa wakati..
Iweje ukae mwanambaya halafu ulaumu miundo mbinu ya serikali?
Serikali inaweka mipango kwa watu wake na sisi kama wanainchi tunapaswa kujipanga ili tufaidi mema ya serikali na sio kulaumu..

Unajuwa kama hayo mabasi yanayopaki nje ya Magufuli yanaleta usumbufu pia kwa wakazi wa kimara,kibamba na wakazi wa barabara ya Morogoro?kwann serikali iweke miundombinu lakini wenye mabasi walete usumbufu kwa wanainchi wengine?
 
moja ipo tayari hivyo mabasi yote yanayotumia br ya mororgoro yanapaswa kutumia hiyo stendi mpya yale ya kusini i.e lindi, mtwara & co. ambayo yanaibukia mbagala yanapaswa pia ya jengewe stendi yao huko wilaya ya tmk, hivyo mwanzo ni mzuri, kwa haya mabasi ya br. ya morogoro hakuna excuse ya kutokutumia stendi mpya iliyopo ila kwa yanyatoka kusini hakuna logic ya wao kutumia hiyo stendi mpya na ilipaswa wajengewe huko huko tmk ...
 
Umekuja vzr sn,,
Kumbe kuna SGR now unaweza ukafanya kazi Dodoma na unaishi dar.

Ingekuwaje kama ungekuwa unaishi dar na unafanya kazi Dodoma na hakuna SGR ungemlaumu nani kwa kichelewa kufika Dodoma?

Ni vile vile kwenye issue ya Magufuli terminal,kaa kwenye mstari salama ili ufike stand kwa wakati..
Iweje u kae mwanambaya halafu ulaumu miundo mbinu ya serikali?
Serikali inaweka mipango kwa watu wake na sisi kama wanainchi tunapaswa kujipanga ili tufaidi mema ya serikali na sio kulaumu..

Unajuwa kama hayo mabasi yanayopaki nje ya Magufuli yanaleta usumbufu pia kwa wakazi wa kimara,kibamba na wakazi wa barabara ya Morogoro?kwann serikali iweke miundombinu lakini wenye mabasi walete usumbufu kwa wanainchi wengine?
Wewe nawe ni jinga tu! Kwa hiyo umeona wanaopata shida tu ni wanaokaa Kimara na Kibamba, hao kwanza walishawahi kulalamika? So Mabasi kuishia Mbezi ni kwa ajili wa watu wa Kimara na Kibamba siyo? Watu wa Chanika, Kigamboni, Mbagala, Gongo la Mboto wao wateseke tu! Halafu una hoja za kipumbavu sana, hivi Stand ilivyokuwa Ubungo watu wa huko Mbezi, Kimara, Kibamba walikuwa wanasafiri vipi? Unasema anayekaa Mwanambaya iweje ailaumu serikakali.. hivi huyu hana haki ya kupata huduma? Akirahisiwa upatikanaji wa huduma flani kutoka kwa wadau wa maendeleo ni kosa? Wewe akili zako za kijinga na kipumbavu sana.
 
Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno

Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno

1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala

2 Mtu anaenda Tanga, Moshi, Arusha na aishi Bunju, Kawe, Tegeta Kuna haja haja Gani ya kwenda Mbezi Magufuli

3 Mtu anaenda Bukoba, Kahama, Mwanza anaishi Kinondoni, Sinza, Mabibo kwanini umsumbue arnde Mbezi badala ya Shekilango

4. Abiria ni wengi na miundo mbinu ya stend ni mibovu

5. Vyoo vya stand ya Magufuli vitaweza kuhimili population ya abiria zaidi ya 10,000 wanaosafiri mwisho wa mwaka?
Vyoo havitoshi

6. Ushuru na tozo ni mzigo Kwa abiria.
Abiria anakuja na tiketi Bado unataka alipe pesa ya kuingia stend, alipie choo, porter n. K
Why mnafurahia kuwasumbua Watanganyika?

7 Usumbufu wa Wapiga debe.
Abiria mgeni hajui chochote akifika stand anasongwa na Wapiga debe zaidi ya 30 na kumwibia na kuzubaisha hii sio sawa

8. Stand ni chafu inanuka mno

9 Hakuna waiting bench
Yaani abiria wanasimama wima wakisubiri gari.
Fikiria inakuwaje Kwa wazee, wajawazito, watoto na walemavu.
Kwanini upeleke population yote hii stand 1.

10. Chalamila umewaza mapato tu

11. CCM furaha yenu ni kuona Watanganyika wakiteseka
Ndiyo maana mnadharauliwa na watanzania. Itafute hiyo nchi yako halafu washauri viongozi wake, umeandika uchafu tu! Kwanza we ni mnyarwanda tunakufahamu! Hujui ht jiografia ya nchi hii, abiria wa mikoa ya kusini yaani Lindi, Mtwara na Ruvuma stand yao iko Mbagala, hao wanaoishi Tegeta, Kawe au Bunju wanaoenda Mikoa ya kaskazini watakuwa wanatafuta nini Mbezi? Acheni ujuaji mbuzi isikilizeni serikali siyo kila kitu ni kupinga
 
Una akili sana
 
Hii komenti ni ya kimburura... Wewe ni KAPYARU
 
Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno

Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno

1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala

2 Mtu anaenda Tanga, Moshi, Arusha na aishi Bunju, Kawe, Tegeta Kuna haja haja Gani ya kwenda Mbezi Magufuli

3 Mtu anaenda Bukoba, Kahama, Mwanza anaishi Kinondoni, Sinza, Mabibo kwanini umsumbue arnde Mbezi badala ya Shekilango

4. Abiria ni wengi na miundo mbinu ya stend ni mibovu

5. Vyoo vya stand ya Magufuli vitaweza kuhimili population ya abiria zaidi ya 10,000 wanaosafiri mwisho wa mwaka?
Vyoo havitoshi

6. Ushuru na tozo ni mzigo Kwa abiria.
Abiria anakuja na tiketi Bado unataka alipe pesa ya kuingia stend, alipie choo, porter n. K
Why mnafurahia kuwasumbua Watanganyika?

7 Usumbufu wa Wapiga debe.
Abiria mgeni hajui chochote akifika stand anasongwa na Wapiga debe zaidi ya 30 na kumwibia na kuzubaisha hii sio sawa

8. Stand ni chafu inanuka mno

9 Hakuna waiting bench
Yaani abiria wanasimama wima wakisubiri gari.
Fikiria inakuwaje Kwa wazee, wajawazito, watoto na walemavu.
Kwanini upeleke population yote hii stand 1.

10. Chalamila umewaza mapato tu

11. CCM furaha yenu ni kuona Watanganyika wakiteseka
Dar haina ukubwa wowote wa kutisha kivile kufanya isiwe na Central station moja ya mabasi, wengi wanaowaza kua Dar ni kubwa basi ni wale hawajawahi safiri kutoka nje ya Tanzania. Dar ni ndogo sana kulinganisha na miji kama Cairo, Algiers, Johannesburg, Kinshasa n.k sema ujengwaji wa mji ulikua mbovu mpaka kuona sijui Chanika au mbagala ni mbali ambapo kiukweli hamna umbali wowote hapo kwenda station ya Magufuli. Chalamila akamatie hapo hapo hadi watazoea tu, mabasi na malori kua mjini ni kero kubwa sana.
 
Uamzi wa Chalamila wa juhamishia mabasi yote Stand ya Magufuli ni wa Ovyo mno

Kwa geografia na population ya Dar stand ya Magufuli ni ndogo mno na utazidiwa vibaya mno

1. Mtu atoke Vikundu akapande gari la Mtwara Mbezi Magufuli? Kwanini asipande gari Mbagala

2 Mtu anaenda Tanga, Moshi, Arusha na aishi Bunju, Kawe, Tegeta Kuna haja haja Gani ya kwenda Mbezi Magufuli

3 Mtu anaenda Bukoba, Kahama, Mwanza anaishi Kinondoni, Sinza, Mabibo kwanini umsumbue arnde Mbezi badala ya Shekilango

4. Abiria ni wengi na miundo mbinu ya stend ni mibovu

5. Vyoo vya stand ya Magufuli vitaweza kuhimili population ya abiria zaidi ya 10,000 wanaosafiri mwisho wa mwaka?
Vyoo havitoshi

6. Ushuru na tozo ni mzigo Kwa abiria.
Abiria anakuja na tiketi Bado unataka alipe pesa ya kuingia stend, alipie choo, porter n. K
Why mnafurahia kuwasumbua Watanganyika?

7 Usumbufu wa Wapiga debe.
Abiria mgeni hajui chochote akifika stand anasongwa na Wapiga debe zaidi ya 30 na kumwibia na kuzubaisha hii sio sawa

8. Stand ni chafu inanuka mno

9 Hakuna waiting bench
Yaani abiria wanasimama wima wakisubiri gari.
Fikiria inakuwaje Kwa wazee, wajawazito, watoto na walemavu.
Kwanini upeleke population yote hii stand 1.

10. Chalamila umewaza mapato tu

11. CCM furaha yenu ni kuona Watanganyika wakiteseka
Ni kama ambayo CCM hawajui uelekeo wa taifa hili!
 
Wewe nawe ni jinga tu! Kwa hiyo umeona wanaopata shida tu ni wanaokaa Kimara na Kibamba, hao kwanza walishawahi kulalamika? So Mabasi kuishia Mbezi ni kwa ajili wa watu wa Kimara na Kibamba siyo? Watu wa Chanika, Kigamboni, Mbagala, Gongo la Mboto wao wateseke tu! Halafu una hoja za kipumbavu sana, hivi Stand ilivyokuwa Ubungo watu wa huko Mbezi, Kimara, Kibamba walikuwa wanasafiri vipi? Unasema anayekaa Mwanambaya iweje ailaumu serikakali.. hivi huyu hana haki ya kupata huduma? Akirahisiwa upatikanaji wa huduma flani kutoka kwa wadau wa maendeleo ni kosa? Wewe akili zako za kijinga na kipumbavu sana.
Unaweza ukajiona mjanja kumbe akili fyatu.
Nimekwambiya jenga au ishi kwenye location ya kwenda kwenu kama hutaki usumbufu Wakati wa kusafiri,.
Mbn sijawahi sikia mtu akilalamika airport? Au bandari kwamba ipo mbali na anapoishi?
Kusafiri ni kujipanga mkuu.
Huwezi ukaishi kimara mbezi,tegeta nk na wewe mtu wa kusini lazima utapata taabu wakati wa usafiri ..
Gari zinazopakia nje ya Magufuli terminal 💯 zinapita njia ya bagamoyo,,na hazipiti chalinze,,
zinawapa usumbufu waishio kimara,kiluvya, nk hawapiti morogoro road wakati wa kwenda au kurudi arusha,moshi tanga wao wanatumia njia ya bagamoyo.,huo ni upiuzi wa kiwango cha juu..

Ndy maana kelele zimekuwa nyingi sababu wamiliki hawataki kupitia njia ya chalinze..
bus likitoka Arusha,tanga linapita bagamoyo ,tegeta halafu unashushwa manzese halafu urudi tena kimara huoni kama usumbufu wa lazima?
Wakati utaratibu gari zote zipite chalinze road..
 
LOFA TU WEWE, UMEANDIKA INSHA NDEEFU LAKINI TAKATAKA.
 
CHALAMILA huenda haijui vizuri mipaka ya Dar es Salaam na viunga vyake. Mtu anatoka Pemba Mnazi akapande basi Mbezi Magufuli, umbali wa zaidi ya kilometa 80, hii si sawa
Mtoa mada ndio haijui vizuri mipaka ya dar,alichoandika 1 na 2 inamuonyesha dhahiri haijui dar,kwani stendi ya magari ya kusini bado ipo mbagala,na wa mikoa wa kaskazini waishio tegeta,bunju nk bado watapata huduma vile vile,kwani kutokea magufuli terminal kwenda tegeta ni karibu zaidi ya kutokea shekilango,halafu uko tegeta kawafikiria wa kaskazini je na sisi wa mwanza tunaoishi mbagala tuletewe stendi yetu huku mbagala!
 
Back
Top Bottom