Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MajibuCHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA)
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA
Ratiba ya mikutano 5 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mhe. Tundu Lissu, iliyopangwa kufanyika leo mkoani Pwani, imevurugika baada ya helkopta aliyokuwa aitumie kufika katika maeneo hayo, kuzuiliwa kwa kunyimwa kibali na Mamlaka ya Anga nchini, muda mfupi kabla ya kuruka.
Taarifa za kukataliwa kwa helkopta hiyo kuruka zilitolewa kwa Ofisa Mnadhimu wa Kampeni, Amani Golugwa, wakati msafara wa Mhe. Lissu ukielekea kupanda ndege baada ya kumaliza taratibu zote za ukaguzi wa kiusalama Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) terminal I.
Ofisa wa Mamlaka ya Anga aliyewasilisha taarifa hiyo wakati msafara wa Mhe. Lissu umeshatoka nje ya jengo la abiria, ametoa sababu zisizoeleweka kuzuia helkopta hiyo kuruka kutoka Uwanja wa JNIA kuelekea Bagamoyo, Chalinze, Mlandizi na Kibaha, wakati kibali chake kiliombwa tangu jana.
Kutokana na hatua hiyo, Chadema imelazimika kutafuta njia mbadala ili Mgombea Urais Mhe. Lissu na msafara wake, aweze kuendelea na ratiba ya mikutano kwa kadri inavyowezekana. Mbali ya Mhe. Lissu, abiria wengine waliokuwa watumie usafiri huo ni watu 3, akiwemo Ofisa Mnadhimu wa Msafara Amani Golugwa, Katibu wa Mgombea, David Jumbe, msaidizi wa masuala ya ulinzi pamoja na rubani wa ndege hiyo.
Imetolewa leo, Alhamis, Septemba 10, 2020 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Sema saccos haina pesa bado wanasubiri ile 25% walioahidiwa na mabeberu ndiyo maana wameshindwa kuweka mabango!Lakini Magufuli hii nchi anaitafuta nini? Amezuia wenzake wasibandike mabango yao kwenye miji mpaka kwenye vyoo yeye kabandika ya kwake, amezuia vyombo vya habari visitangaze habari za wenzake! Sasa anazuia hata wasitumie helicopter, tunakoelekea atazuia hata wasifanya kampeni! Dunia hii kuna majitu ni majibwa!
Wanataka mzee wa zaidi ya miaka 65 aendeshe helikopta halafu akiiangusha na kuua watu lawama zielekezwe kwa mamlaka ya anga.Majibu
Wacha umamanina mwamba!Sema saccos haina pesa bado wanasubiri ile 25% walioahidiwa na mabeberu ndiyo maana wameshindwa kuweka mabango!
Kumbe kibali walikuwa nacho
Ni aibu kubwa!Kumbe kibali walikuwa nacho
Yatakuwa majibu ya Lumumba haya!Majibu
Soma hapa chini. Uongo uongo tu wanasaccos.Wacha umamanina mwamba!
Nyinyi wanasaccos ni waongo sana!Yatakuwa majibu ya Lumumba haya!
Umeelewa nini hapo.Malalamiko FC
Swali ni Je siku zote hiyo helicopter ilikuwa inarushwa na rubani gani???? Kama ndo huyo huyo Kwa nini siku nyingine wanekuwa wakimruhusu???Soma hapa chini. Uongo uongo tu wanasaccos.
View attachment 1565523
haki itendeke kwa wagombea wote , kama ambavyo mgombea wenu habughudhiwi , kwa chochote akifanyacho , mfano pishapu , kupiga ngoma za bendi, kucheza mziki , kuwa na wanamziki , na vyombo vya habari kumkava yeye ,hivyo na wagombea wengine waachwe wafanye kampeni kwa raha zao , hasa chadema ,mnaisumbua sana why, so kama anakunywa soda baridi huko chato bahada ya kazi ngum ya kampeni, ni vizuri na nimpe pole , ila chokochoko kwa upande wa wagombea weza kiti cha urais zikomeshwe mara moja ,Acheni usanii hauwasaidii, hakuna aliyekataza kidege chenu, tatizo hamtaki kufanya siasa mnataka itokee fujo ili mpate sababu ya kusema kwa mab...na zenu. Mwakaa huu haumizwi mtu mtashindwa mchana kweupe. Chuma kipo chato kinapata mirinda bariiiiiidi kwa siku mbili huku kikisindikiza na supu ya kamongo, kitakapoibuka kwa awamu nyingine mtapata habari yenu. Kwa sasa kila anachofanya JIWE na nyie mnaiga, kaamua kupumzika na nyie mnapumzika kwa kisingizio cha kukosa KIBALI, DUU PATHETIC GETE GETE
Kutoka kimara kwenda mlandege hawezi enda kea gari? Kumbe man hela za kuchezea hivi?AendeJe kama usafiri wake mmeuzuia . Mbona wivu wa kike ?!
Jaribu kuelewa hapa Tanzania Rubani haruhusiwi kuendesha ndege akizidi miaka 65 ndiyo TAA Regulation zinasema hivyo ndiyo maana hao wamiliki wa Helcopiter ilibidi waombe waiver hivyo haijawahi kuendeshwa na Rubani wa miaka zaidi ya 65. By the way TZ marubani wa kiraia ni wengi sana wasiozidi miaka 65 nasikia Saccos hawajalipa pesa ndiyo maana walimiki wa Helcopitet wameanza kupiga chenga!Swali ni Je siku zote hiyo helicopter ilikuwa inarushwa na rubani gani???? Kama ndo huyo huyo Kwa nini siku nyingine wanekuwa wakimruhusu???
Kila chama ina mipango yake. Kwanini waingiliwe ?!Kutoka kimara kwenda mlandege hawezi enda kea gari? Kumbe man hela za kuchezea hivi?
Tatizo saccos hawajalipa advance ya kukodi Helcopiter ndiyo maana wamiliki wa ndege wanapiga chenga!haki itendeke kwa wagombea wote , kama ambavyo mgombea wenu habughudhiwi , kwa chochote akifanyacho , mfano pishapu , kupiga ngoma za bendi, kucheza mziki , kuwa na wanamziki , na vyombo vya habari kumkava yeye ,hivyo na wagombea wengine waachwe wafanye kampeni kwa raha zao , hasa chadema ,mnaisumbua sana why, so kama anakunywa soda baridi huko chato bahada ya kazi ngum ya kampeni, ni vizuri na nimpe pole , ila chokochoko kwa upande wa wagombea weza kiti cha urais zikomeshwe mara moja ,
Wameingiliwa na nani wewe Mkenya?Kila chama ina mipango yake. Kwanini waingiliwe ?!
kimbunga lissu 2020 , ni mashine ya mjerumani , siku moja tu ikiwashwa , inasaga kila kitu kinakua unga , upepo wake ukipita tu usipo jifunga taulo vizuri utashutuka imekwapuliwa, na mtu katupwa kule , kikipuliza kinapangua first eleven yoteKWELI MTI WENYE MATUNDA NDIO HUPIGWA MAWE....
Tundu lissu anapigwa kotekote
huku magufuli
huku majaliwa
huku samia
huku kikwete
huku pinda
huku NEC
huku mamlaka ya anga sijui nini na nini
huku tbccm
huku policcm
Wote ni dhidi ya Tundu lissu tu
Mungu ndo amesimama na Lissu na watz wote wako pamoja naye
Watz wanatala mabadiriko hakuna kingine na tumechoka kuonewa mara hii hatutakubali tena