We nawe, hahahaha shida Sina emoj,Dah nyie wa kishua, vipi unaeza nipa hata u house boy kwenu [emoji1][emoji849]
Hivi TID ameoa na ana watoto?TID mpaka leo bado yupo kwa mama yake Kinondoni
Hayo sijui,lkn kwetu viwanja ni bei juu.Hiko kiwanja kina ukubwa gani?
Maana hiko cha mil 8 ni cha futi 10 kwa 15.Tena rural area huko kama unaelekea Kisarawe 2 ama Pemba mnazi.
Aya hicho cha mil 8 kijijini kwenu heka ngapi na eneo la urban ama rural?
Yaan essay nzima umejielezea wewe na umefika conclusion kwa kuniambia Serikalini ifanyaje? Unafikiri wao wanaangalia kuhusu hilo wewe ushaambiwa lea mtoto wako akikua kumuendeleza ni jukumu lako masuala ya Ajira wewe mzazi ndio muajiri Namba 1 mpe shughuli za kufanya mwanao mpe mtaji afanye Jambo analolipenda acha masuala ya kusubiria Serekali ikufanyie hadi kukupa Ajira ikufanyie wewe umekalisha tu hakuna Serekali inayokuletea Ugali nyumbani kwako kwa hio akili kwenye utosi watoto wako wasaidie mwenyewe utajua unawapeleka shule kusoma au unawafungulia mradi wa familia Ila Serekali haiwezi kunyanyuka ikaja kuwaajiri watoto wako uliowazaa mwenyewe wakati wenyewe wapo Serekalini wana watoto, ukiambiwa ongeza na za kwakoHabari zenu,
Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao.
Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao.
Vijana wengi wa Dar wameshakata tamaa ya kujenga makazi yao binafsi, wengi wanategemea cha wazazi eg. Nyumba, Magari n.k
Utafiti wangu pia umegundua kuwa kuna vijana wanaojitegemea lakini maisha yao hayapo vizuri kwani kesho yao imekuwa ngumu kueleweka, na mara nyingi utakuta kijana anaishi kwenye nyumba za kupanga na bado kodi ya pango inamsumbua kulipia.
Vijana hawa wenye umri mkubwa hawana future iliyobora maana kuna uwezekano kwenye uzee wao wakawa wanaishi maisha ya tabu kwa kukosa makazi yao binafsi.
USHAURI - NAOMBA SERIKALI IONGEZE NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA, NA PIA IONDOE VIKWAZO VINGI KWA WANAOFANYA BIASHARA.
NB. HUU NI UTAFITI WANGU KAMA MJANJA M1, KAMA UTAUPINGA BASI UTAKUWA SAHIHI PIA.
Written by Mjanja M1.
Hiyo hali haipo Dar tu hata huku pembezoni.Hawa vijana muwaonee huruma wana stress sana wengi hawapendi kubaki kwao wanalazimika
Kuna vijana tangu wamalize vyuo hawana mishe za maana hivyo hata kwenda kupanga anaona kodi zitamtesa na akizingatia kwao kuna vyumba/chumba
Wengi unakuta walisoma seko mpaka chuo ila hawana ujuzi wowote wa VETA wanategemea magamba yao ya vyuo. Mitaji ya biashara hawana familia maisha ya kuungaunga.
Wengine wamejiongeza kuwa boda au winga K/koo, udalali n.k
Wanaumia sana wanapoona wenzao waliosoma nao wakiwa wana mishe. Wao wakiamka asuhuhi hawajui waende wapi
Tusiwaseme sana vijana wa Dar ila wanachopitia Mungu mwenyewe anajua
Asante Kwa kutambua makabila yaliyo mbele ya muda😅😅We nawe, hahahaha shida Sina emoj,
Siriaz kwetu viwanja ni bei Sana, imagine hapa tunapoishi 2009 mama alinunua kiwanja kwa elfu hamsini,lkn mwaka Jana bei yake ni mion 5,
Wanaosababisha bei kupanda ni wakinga/wachaga wanasifa kweli.
Sawa dada inategemea na ukubwa.Hayo sijui,lkn kwetu viwanja ni bei juu.
Emoji zako zime enda wapi😄, Sasa 2009, uli taka viga de bei hiyo tu🤣We nawe, hahahaha shida Sina emoj,
Siriaz kwetu viwanja ni bei Sana, imagine hapa tunapoishi 2009 mama alinunua kiwanja kwa elfu hamsini,lkn mwaka Jana bei yake ni mion 5,
Wanaosababisha bei kupanda ni wakinga/wachaga wanasifa kweli.
Unazingua wewe, huko mabush mzee ana hekari saba atashindwa vipi kumpa mwanae robo heka akajenga na kuoaNi mkoa gani wanagawa viwanja bure ndugu? Naku hakikishia hakuna mkoa wenye viwanja Bei rahisi Kama dar
Aise ila syo wote mkuu wengine tumezaliwa dar lakini nchi tumeitembea vijiji kwa vitongojiKitu kilichonishangaza ni kua kuna watu wamezaliwa dar na kukua dar ila mwisho wao wa kutembea ni Morogoro na chole. Wengine hadi wanakua watu wazima hawajawahi fika chalinze/moro
Kumbuka hao unaowasema wametoka mikoaniHabari zenu,
Mjanja M1 nimeona maeneo mengi Dar vijana wenye umri mkubwa miaka 30 na kuendelea wakiishi kwa wazazi wao na wengine kuzalia makwao.
Kautafiti kangu kamegundua zaidi kuwa kuna wanaume waliooa pia ambao wanaishi na wake zao kwenye nyumba za wazazi wao.
Vijana wengi wa Dar wameshakata tamaa ya kujenga makazi yao binafsi, wengi wanategemea cha wazazi eg. Nyumba, Magari n.k
Utafiti wangu pia umegundua kuwa kuna vijana wanaojitegemea lakini maisha yao hayapo vizuri kwani kesho yao imekuwa ngumu kueleweka, na mara nyingi utakuta kijana anaishi kwenye nyumba za kupanga na bado kodi ya pango inamsumbua kulipia.
Vijana hawa wenye umri mkubwa hawana future iliyobora maana kuna uwezekano kwenye uzee wao wakawa wanaishi maisha ya tabu kwa kukosa makazi yao binafsi.
USHAURI - NAOMBA SERIKALI IONGEZE NAFASI ZA AJIRA KWA VIJANA, NA PIA IONDOE VIKWAZO VINGI KWA WANAOFANYA BIASHARA.
NB. HUU NI UTAFITI WANGU KAMA MJANJA M1, KAMA UTAUPINGA BASI UTAKUWA SAHIHI PIA.
Written by Mjanja M1.
Sasa km kila mtu analilia kuja dar mkoan tukatafute nn km kama hauna unachoenda kufanyaKitu kilichonishangaza ni kua kuna watu wamezaliwa dar na kukua dar ila mwisho wao wa kutembea ni Morogoro na chole. Wengine hadi wanakua watu wazima hawajawahi fika chalinze/moro
na nyumba za nyasi au makutiDar hakuna tofali za kuchoma..
Hakuna nyumba za tope..
Kwahiyo tuache kidogo
Kwani unadhani watu wengi DSM ni asili yao?Na wanaojenga dar es salaam asilimia kubwa ni watu kuja .
Halafu pia bei za vyumba DSM sio kama pale Kibaigwa 😂😂Ulilolisema ni sahihi kabisa, 80% ya marafiki zangu, majirani zangu I mean age mates wangu wanaishi majumbani kwao. Home Kijitonyama washkaji wengi wanafanya kazi lakini hawajatoka kwenye nyumba za wazazi. Ila nilichogundua ni pamoja na kuwepo kwa space, na wengine wanaambiwa na wazazi wao wenyewe kwanini unataka kupanga wakati vyumba nyumbani vipo?
Hii ilinitokea hata mimi kabla sijahamishiwa kikazi mkoani, mama haukutaka nikapange kabisa maana madogo wote wapo mikoani kikazi.
Hajawahi kuoa, kuhusu mtoto mara ya mwisho kulikuwa na utata juu ya mtoto aliyezaa na mwanamke fulani. Yule mwanamke anadai sio wa TID huyu ndiye mtoto pekee wa TID niliyemsikiaHivi TID ameoa na ana watoto?
Chalinze tufuate nini ?Kitu kilichonishangaza ni kua kuna watu wamezaliwa dar na kukua dar ila mwisho wao wa kutembea ni Morogoro na chole. Wengine hadi wanakua watu wazima hawajawahi fika chalinze/moro