Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Wabongo tuna ujasiri kwenye keyboards tu, live ni mioga kuliko kunguru. Mtu anatekwa hadharani na haipigi hata yowe...
 
Kwani uyo jmaa alotaka kutekwa ni nani ? Ana status gani ?
 
 

Attachments

  • 354506.jpg
    14.5 KB · Views: 1
Hili tukio linafunua uwezo halisi wa watu wa kisiwa cha kusadikika. Halafu kuna watu wanaota mabadiliko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
 
Watanganyika watu wa ajabu kweli, mtu anaomba msaada nisaidieni hakuna hata mmoja anaejitokeza, wanamuangalia tu.
 
Uhuru ambao Samia amempa Mafwele, utazidi kuwamaliza watanzania. Mwisho wa haya ni mpaka Watanganyika waamke na kumwambia Samia aende kwao. Huu uharamia ameubariki huku Tanganyika, kule kwao husikii huu ushetani.
Kipindi cha magufuli wale waliotekwa ulibarikiwa na nani ??
 
Daah asa kama watekaji wenyewe ndio Hawa mbona kama uyo chaliii tu..Yani ana anguka anguka😁😁...Sasa migahawa wiki hii itaingiza faida sana..maana napata picha watu watakavokula kwa sana Ili wanenepe wasiweze kuingia kwenye gari.....
 
Ila tusiache fanya hvyo maan tutafichukua mengine.
Hiyo haisaidii mkuu.

Sativa alisema gari aliyopandishwa ilikuwa na namba za usajili kama za SA na haikusimamishwa check point yoyote.

Hiyo picha hapo eti ndio CCTV footage ya gari iliyomteka Mohamed Dewji.

Hivi akili za polisi wa Tanzania unaona ziko sawa kweli?
 
H
huyu jamaa aliyepita ndiyo aliyesema Hoya Kuna nini ndiyo jamaa wakamiachia wakafanya haraka kuondoka
 
Hawakutumia Akili ktk zoezi lao, sitaki kuamini kwamba hawa wametumwa na vyombo fulani fulani ambavyo vipo well trained.

Gari si rafiki, pia approach ya kumchukua si rafiki pia... Nafkiri Mwenyezi Mungu pia alipanga jambo hili lisifanikiwe.
 
Daah asa kama watekaji wenyewe ndio Hawa mbona kama uyo chaliii tu..Yani ana anguka anguka😁😁...Sasa migahawa wiki hii itaingiza faida sana..maana napata picha watu watakavokula kwa sana Ili wanenepe wasiweze kuingia kwenye gari.....
Kwa watekaji wale mimi wala sihitaji msaada wa mtu yeyote ningewakalisha mapema tu.

Huyo jamaa ni ubonge tu umemuokoa, lakini angekuwa bonge halafu yuko fit angewatandika wote, sijaona mtu fit katika hao watekaji, kama hicho kitoto kilichotangulia kwenye gari ni kama kishoga fulani tu kimelegea.
 
Mkuu!

Sikatai lakini wahusika Wamefanya tukio hili Kwa malengo maalum kabisa la kutia hofu au kutuma ujumbe fulani!

Mi naamini vyombo vyetu vya intelligence vina uwezo wa kufanya matukio kama haha bila kuacha alama za kutia hofu na taharuki kwa jamii kama walivyofanya hao jamaa!!

Wangeweza kutumia process ambayo ni safe zaidi kuliko walivyofanya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…