kimbomba25
JF-Expert Member
- Jan 27, 2017
- 1,160
- 2,117
Wabongo tuna ujasiri kwenye keyboards tu, live ni mioga kuliko kunguru. Mtu anatekwa hadharani na haipigi hata yowe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani uyo jmaa alotaka kutekwa ni nani ? Ana status gani ?Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Wakuu,

Hili tukio linafunua uwezo halisi wa watu wa kisiwa cha kusadikika. Halafu kuna watu wanaota mabadiliko🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Wakuu,
Nimekutana na video hii duniani huko, pamoja na kujaribu kupiga kelele watu waliuchuna. Angalu video hii imepatikana, kama ni tukio la kweli wasiyojulikana wataanza kujulikana.
=====
Kumbusho Dawson kaandika haya kupitia ukurasa wake akisindikiza video hiyo;
"Tukio hili la utekaji limetokea jana Rovvenpec Resort, Kiluvya madukani, kutokana na nguvu za mwamba aliwashinda watekaji.
"Inasikitisha Sana kwamba hakuna pamoja Na kwamba kulikuwa na watu wanashuhudia hakuna mtu aliejitokeza kutoa msaada inasikitisha.
Pia soma: Kupambana na watu wasiojulikana: Ukija kukamatwa na polisi bila uniform na hajaambatana na kiongozi wa eneo husika piga firimbi, kusanya nzi
"Mstari unaotofautisha akili za nyumbu na Watanzania ni ndogo kama punje ya haradali. Mtu anakamatwa watu wanashangàa kama kundi la nyumbu porini. Shame be upon you."
Kupata matukio ya nyuma kuhusu watu wasiyojulikana ingia hapa: Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Kipindi cha magufuli wale waliotekwa ulibarikiwa na nani ??Uhuru ambao Samia amempa Mafwele, utazidi kuwamaliza watanzania. Mwisho wa haya ni mpaka Watanganyika waamke na kumwambia Samia aende kwao. Huu uharamia ameubariki huku Tanganyika, kule kwao husikii huu ushetani.
Hiyo haisaidii mkuu.Ila tusiache fanya hvyo maan tutafichukua mengine.
huyu jamaa aliyepita ndiyo aliyesema Hoya Kuna nini ndiyo jamaa wakamiachia wakafanya haraka kuondokaYawezekana kabisa kutokana na dhana kwamba usanii walipa pengine watu walidhani wasaniii walikuwa kazini.
Kumbe kiuhalisia mtu atekwa hadharani. Pia kuna jamaa hapo kapita tu bila hata kuangalia kinoendelea.
Mzee Ali Kibao (RIP)alitekwa kutoka kwenye basi na abiria wengine wakiwa hawana cha kufanya na kwenda kuteswa kisha kuuawa.
Hebu Nisaidie majina yao kama unayo.Watekaji wote wamefahamika majina yao yote na hata wanakoishi, tusubiri porojo za Muliro
Hapana jamaa kawatoa jasho. Kingine kelele za mwamba zimewajengea hofu.Watekaji wenyewe wanaonekana dhaifu na njaa kali sana.
ungeeleza uerevu ingependeza zaidi gentleman, kuliko kuonyesha mihemko na ghadhabu ambazo ni completely useless and nonsense 🐒Upuuzi!
Fala sana hahahhaahDaah asa kama watekaji wenyewe ndio Hawa mbona kama uyo chaliii tu..Yani ana anguka anguka😁😁...Sasa migahawa wiki hii itaingiza faida sana..maana napata picha watu watakavokula kwa sana Ili wanenepe wasiweze kuingia kwenye gari.....
Kwa watekaji wale mimi wala sihitaji msaada wa mtu yeyote ningewakalisha mapema tu.Daah asa kama watekaji wenyewe ndio Hawa mbona kama uyo chaliii tu..Yani ana anguka anguka😁😁...Sasa migahawa wiki hii itaingiza faida sana..maana napata picha watu watakavokula kwa sana Ili wanenepe wasiweze kuingia kwenye gari.....
Hao wametumia Poor tactical skillsHawakutumia Akili ktk zoezi lao, sitaki kuamini kwamba hawa wametumwa na vyombo fulani fulani ambavyo vipo well trained.
Gari si rafiki, pia approach ya kumchukua si rafiki pia... Nafkiri Mwenyezi Mungu pia alipanga jambo hili lisifanikiwe.
Wabongo ujasiri upo kwenye mambo ya simba yanga,mondi konde singeli amapianoWabongo tuna ujasiri kwenye keyboards tu, live ni mioga kuliko kunguru. Mtu anatekwa hadharani na haipigi hata yowe...
Kabisa hawana mbinu kabisaHao wametumia Poor tactical skills
Mkuu!Tusishabikie kila kitu nakubpost pamoja na makosa mengine uhalifu umekuwa mkubwa sana kwa kiwango cha kutisha huko mbeleni watu watapigwa risasi live sitaki kuamini huyu ni mtu wakisiasa lazima atakuwa kuna jambo anafanya na walikuwa wana msaka.
Nje ya siasa uhalifu dhidi ya Taifa lako ni jambo la hatari kwa maisha yako. Mama mkanye mwanao mama mkanye mwanao.