Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Dar: Inasemekana tukio hili la utekaji limetokea Kiluvya, kutokana na uzito wa jamaa walishindwa kumchukua. Hakuna aliyetoka kumsaidia

Hawakutumia Akili ktk zoezi lao, sitaki kuamini kwamba hawa wametumwa na vyombo fulani fulani ambavyo vipo well trained.

Gari si rafiki, pia approach ya kumchukua si rafiki pia... Nafkiri Mwenyezi Mungu pia alipanga jambo hili lisifanikiwe.
Unaweza Kukuta wote ni walevi tu wametiana ndimu pesa za deal, mimi ninavyoijuwa ile mijamaa ya anti robbary wawili tu wangemkalisha huyo, halafu hawatumii kigari kama hicho.
 
Hao ni watekaji au ni wapumbavu tu? Mbona wanyonge nyonge sana??
Halaf nyie mnaolaumu watu hawamsaidiii ni hao wakina dada pembeni hapo na hivyo vitoto ndio wa kumsaidia tena mitaa ya uswahili mida hio??
Lawama za bure.
Kikubwa Mwamba kapambana haswaaa. Halaf huyu sio bonge tu mwamba inaonekana nae ni mkali wa hizi kazi sio kitoto. Kavimba kishenzi pale mlangoni katanua mikono asiingie ndani, hii technique hawez fanya mtu mzembe mzembe.
Nimewadharau sana hao watekaji, sijui walitumwa kuja kuigiza au vip? Hawako serious na kazi au hawana uwezo wa hizo kazi.
Mwamba kawanyoosha haswaaa.
Siku ya Mungu ikifika uwezo na maarifa hutoweka. Damu za watu zimejaa mikononi mwao.
 
Unaweza Kukuta wote ni walevi tu wametiana ndimu pesa za deal, mimi ninavyoijuwa ile mijamaa ya anti robbary wawili tu wangemkalisha huyo, halafu hawatumii kigari kama hicho.
Maana kama wameamua kutumia nguvu.. wangetanguliza diplomacy kwanza.. "Unaenda na sisi au damu imwagike?" Kabla ya kujibu unakula ngumi moja ya Pua, hujakaa sawa pingu, tanganyika jeki.. wanakusomba hizo nguvu za kelel zinaanzia wapi😂
 
Bonge kaokolewa na mwili wake,haya kazi kwenu vimbaumbau.Hakuna aliyesalama huko nje.Kaeni chonjo.Ni mwendo wa kunyakuliwa, kama mwewe anavyonyakua kuku.
Kama wewe ni mtu safi usie na makuu unafanya kazi halali huwezi nyakuliwa!!
Wanaonyakuliwa ni wale ambao wanaviashiria vya tishio kiusalama ndio maana hasta ukiwa mwanaccm na una mambo fulani ambayo ni tishio kwa usalama unanyakuliwa!!

Ni vizuri tukajikita kwenye uwajibikaji kisheria na kuwa wananchi wawajibikaji kwa taifa!!

No vile system Huwa haisemi Kila kitu ingekua inaweka wazi bhas tungeshangaa sana!
 
Oneni pumbavu kama hili, mbwa kama hawa wako hài kwa sababu kuuwa ni jinai.
 
Yaani umemifanya nilie tena. Inasikitisha sana. Halafu mijitu mingine mijinga inamlaumu Dkt Magufuli wakati hayupo
Huu ulikuwa utawala wa nani?
maxresdefault.jpg
 
Kama wewe ni mtu safi usie na makuu unafanya kazi halali huwezi nyakuliwa!!
Wanaonyakuliwa ni wale ambao wanaviashiria vya tishio kiusalama ndio maana hasta ukiwa mwanaccm na una mambo fulani ambayo ni tishio kwa usalama unanyakuliwa!!

Ni vizuri tukajikita kwenye uwajibikaji kisheria na kuwa wananchi wawajibikaji kwa taifa!!

No vile system Huwa haisemi Kila kitu ingekua inaweka wazi bhas tungeshangaa sana!
Kwani wangejitambulisha na kumuarrest kungekuwa na ubaya?

Hiyo system imeshindwa kuzuia upotevu wa pesa majizi yanajichotea vitita na kuficha kwenye benki za ughaibuni.

Mimi siungi mkono anarchy ila tunapoenda nitaona sawa mtu kutumia haki yake ya kujilinda kama hivyo au kwa namna yoyote ikiwemo hata kuwadhuru au kuwaua hao polisi wanaoteka watu.
 
Personally hata Mimi wasingeniweza...na jamaa Yani wanamkumbatia kama mto..Yani wanacheza na hatari sana...bonge amshukuru mkewe anaempikia
Kwa watekaji wale mimi wala sihitaji msaada wa mtu yeyote ningewakalisha mapema tu.

Huyo jamaa ni ubonge tu umemuokoa, lakini angekuwa bonge halafu yuko fit angewatandika wote, sijaona mtu fit katika hao watekaji, kama hicho kitoto kilichotangulia kwenye gari ni kama kishoga fulani tu kimelegea.
 
Hizi ndio moja ya kazi zilipaswa kupewa kipaumbele na TANGANYIKA LAW ASSOCIATION (TLS) lakin na wao watakaa kimyaaaa.
Wale wana harakat uchwa akina HELLEN KIJO watapiga kimyaaaaa mpaka wasikie Femnist mmoja kapigwa kofi na mumewe ndio watapiga kelele.
Radio station zoote utaona zimepiga kimya ziko busy na vipindi vya michezo badaka ya kushikia bango suala hili
 
ni muhimu sana kuishi na watu vizuri, mtaani na popote pale.

ubabe, dhuluma, dharau na mizaha kwa mali na wake za watu vina matokeo mabaya sana hasa kwa wasiopenda kuongea bali kutenda.

heshimu wengine nawe utaheshimiwa na kusaidiwa ikiwa unahitaji msaada. vinginevyo watakutazama kama movie tu na kiburi chako unavyo nyoroshwa na wababe wako.

epuka tamaa, yatakutokea puani 🐒
Nilijua tu UVCCM utakuja na uharo Kama huu.Wewe jaman ulaaniwe daima,walaaniwe wazazi wako walikuleta duniani .

Wewe jamaa unaroho mbaya sana.
 
Nilijua tu UVCCM utakuja na uharo Kama huu.Wewe jaman ulaaniwe daima,walaaniwe wazazi wako walikuleta duniani .

Wewe jamaa unaroho mbaya sana.
relax gentleman plz plz,

ni muhimu ukaelekeza uerevu wako kwenye hoja mahususi mezani. It is very simple..

mihemko na makasiriko ni useless na completely nonsense 🐒
 
ni muhimu sana kuishi na watu vizuri, mtaani na popote pale.

ubabe, dhuluma, dharau na mizaha kwa mali na wake za watu vina matokeo mabaya sana hasa kwa wasiopenda kuongea bali kutenda.

heshimu wengine nawe utaheshimiwa na kusaidiwa ikiwa unahitaji msaada. vinginevyo watakutazama kama movie tu na kiburi chako unavyo nyoroshwa na wababe wako.

epuka tamaa, yatakutokea puani 🐒
Wewe ni mbwa kabisa, huyo Deo ambaye ni victim anaishi Kibaha, na tukio limetokea Kiluvya.

Kama ccm kungekuwa na mtu mwenye akili hata chembe ungehoji walinzi wa hotel wako wapi na ungehoji cctv camera zioneshe tukio kuanzia mwanzo.
 
Back
Top Bottom