Exile
JF-Expert Member
- Feb 21, 2021
- 1,477
- 3,642
Kama unatumia twitter (X) nenda kwenye account ya buyobeHebu Nisaidie majina yao kama unayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unatumia twitter (X) nenda kwenye account ya buyobeHebu Nisaidie majina yao kama unayo.
Unaweza Kukuta wote ni walevi tu wametiana ndimu pesa za deal, mimi ninavyoijuwa ile mijamaa ya anti robbary wawili tu wangemkalisha huyo, halafu hawatumii kigari kama hicho.Hawakutumia Akili ktk zoezi lao, sitaki kuamini kwamba hawa wametumwa na vyombo fulani fulani ambavyo vipo well trained.
Gari si rafiki, pia approach ya kumchukua si rafiki pia... Nafkiri Mwenyezi Mungu pia alipanga jambo hili lisifanikiwe.
Siku ya Mungu ikifika uwezo na maarifa hutoweka. Damu za watu zimejaa mikononi mwao.Hao ni watekaji au ni wapumbavu tu? Mbona wanyonge nyonge sana??
Halaf nyie mnaolaumu watu hawamsaidiii ni hao wakina dada pembeni hapo na hivyo vitoto ndio wa kumsaidia tena mitaa ya uswahili mida hio??
Lawama za bure.
Kikubwa Mwamba kapambana haswaaa. Halaf huyu sio bonge tu mwamba inaonekana nae ni mkali wa hizi kazi sio kitoto. Kavimba kishenzi pale mlangoni katanua mikono asiingie ndani, hii technique hawez fanya mtu mzembe mzembe.
Nimewadharau sana hao watekaji, sijui walitumwa kuja kuigiza au vip? Hawako serious na kazi au hawana uwezo wa hizo kazi.
Mwamba kawanyoosha haswaaa.
Maana kama wameamua kutumia nguvu.. wangetanguliza diplomacy kwanza.. "Unaenda na sisi au damu imwagike?" Kabla ya kujibu unakula ngumi moja ya Pua, hujakaa sawa pingu, tanganyika jeki.. wanakusomba hizo nguvu za kelel zinaanzia wapi😂Unaweza Kukuta wote ni walevi tu wametiana ndimu pesa za deal, mimi ninavyoijuwa ile mijamaa ya anti robbary wawili tu wangemkalisha huyo, halafu hawatumii kigari kama hicho.
Kama wewe ni mtu safi usie na makuu unafanya kazi halali huwezi nyakuliwa!!Bonge kaokolewa na mwili wake,haya kazi kwenu vimbaumbau.Hakuna aliyesalama huko nje.Kaeni chonjo.Ni mwendo wa kunyakuliwa, kama mwewe anavyonyakua kuku.
watu wa dsm wako busy kam wanakata gogo hovyo kabisaaaHiyo ndio DSM, Mkoani sio rahisi watu watulie
Karate inazuia risasi? Kwsbb ukiwabonda ukawazidi wanatoa silaha hawa
Situmii twitter, lete screenshot.Kama unatumia twitter (X) nenda kwenye account ya buyobe
Oneni pumbavu kama hili, mbwa kama hawa wako hài kwa sababu kuuwa ni jinai.Kama wewe ni mtu safi usie na makuu unafanya kazi halali huwezi nyakuliwa!!
Wanaonyakuliwa ni wale ambao wanaviashiria vya tishio kiusalama ndio maana hasta ukiwa mwanaccm na una mambo fulani ambayo ni tishio kwa usalama unanyakuliwa!!
Ni vizuri tukajikita kwenye uwajibikaji kisheria na kuwa wananchi wawajibikaji kwa taifa!!
No vile system Huwa haisemi Kila kitu ingekua inaweka wazi bhas tungeshangaa sana!
Huu ulikuwa utawala wa nani?Yaani umemifanya nilie tena. Inasikitisha sana. Halafu mijitu mingine mijinga inamlaumu Dkt Magufuli wakati hayupo
Mungu wa Chato.Huu ulikuwa utawala wa nani?View attachment 3150937
Kwani wangejitambulisha na kumuarrest kungekuwa na ubaya?Kama wewe ni mtu safi usie na makuu unafanya kazi halali huwezi nyakuliwa!!
Wanaonyakuliwa ni wale ambao wanaviashiria vya tishio kiusalama ndio maana hasta ukiwa mwanaccm na una mambo fulani ambayo ni tishio kwa usalama unanyakuliwa!!
Ni vizuri tukajikita kwenye uwajibikaji kisheria na kuwa wananchi wawajibikaji kwa taifa!!
No vile system Huwa haisemi Kila kitu ingekua inaweka wazi bhas tungeshangaa sana!
Huyo dogo mwenye buti za depo kajianika sanaaaaa aisee..kuna mjanja mmoja yeye alikua kwa ndani tu anamvuta hajaonekana ila huyu daahh!! Yan sure hadharani hakyanani nchi hii na ukite litapita kimya kimyaaaaSiku ya Mungu ikifika uwezo na maarifa hutoweka. Damu za watu zimejaa mikononi mwao.
Kwa watekaji wale mimi wala sihitaji msaada wa mtu yeyote ningewakalisha mapema tu.
Huyo jamaa ni ubonge tu umemuokoa, lakini angekuwa bonge halafu yuko fit angewatandika wote, sijaona mtu fit katika hao watekaji, kama hicho kitoto kilichotangulia kwenye gari ni kama kishoga fulani tu kimelegea.
Nilijua tu UVCCM utakuja na uharo Kama huu.Wewe jaman ulaaniwe daima,walaaniwe wazazi wako walikuleta duniani .ni muhimu sana kuishi na watu vizuri, mtaani na popote pale.
ubabe, dhuluma, dharau na mizaha kwa mali na wake za watu vina matokeo mabaya sana hasa kwa wasiopenda kuongea bali kutenda.
heshimu wengine nawe utaheshimiwa na kusaidiwa ikiwa unahitaji msaada. vinginevyo watakutazama kama movie tu na kiburi chako unavyo nyoroshwa na wababe wako.
epuka tamaa, yatakutokea puani 🐒
relax gentleman plz plz,Nilijua tu UVCCM utakuja na uharo Kama huu.Wewe jaman ulaaniwe daima,walaaniwe wazazi wako walikuleta duniani .
Wewe jamaa unaroho mbaya sana.
Siyo Tanzania hao ingekua Tarime au nyamongo saizi wote marehemu hapo. Na hiyo gari ingechomwa motoKuna vitu tunaviendekeza Tanzania vya kijinga Sana.
Wewe ni mbwa kabisa, huyo Deo ambaye ni victim anaishi Kibaha, na tukio limetokea Kiluvya.ni muhimu sana kuishi na watu vizuri, mtaani na popote pale.
ubabe, dhuluma, dharau na mizaha kwa mali na wake za watu vina matokeo mabaya sana hasa kwa wasiopenda kuongea bali kutenda.
heshimu wengine nawe utaheshimiwa na kusaidiwa ikiwa unahitaji msaada. vinginevyo watakutazama kama movie tu na kiburi chako unavyo nyoroshwa na wababe wako.
epuka tamaa, yatakutokea puani 🐒