Uchaguzi 2020 Dar: Jeshi la Polisi lasitisha wito wake kwa Tundu Lissu, lamtaka aendelee na Kampeni zake

mkuu wangehariri barua ungesema kawafundisha.

wameamua kuwa madogo ili kuepusha vurugu mnawazomea,lakini wote tunajua kwamba wakiamua kufanya ujinga huwa wanaufanya ujinga uliokomaa.

tufurahi maana amani ndicho kitu tunachoulizia.


Hao ni CDM

Na hawajui barua hii inasambaa kimataifa, so siku wakileta ujinga wao polisi, watu wapokee kwa amani kabisa

Nawapongeza jeshi la polisi
 
Petro ata Tembea yake ilionekana ni 'mwanafunzi wa Yesu'. Mpime mtu kwa anachokisema na kwa anachokisema...mwanzo mwisho! Usipime ukaishia katikati!
Hakika mkuu,pale kwny michongo ya Mayanga inabidi kua napo makini sana.
 
We si ndo walikutuma umpige risasi Lissu??? Tunakujua subiri tu tutakufundisha adabu
 
Inahusika vipi! Wameamua kumchangia kwa pamoja.
 
Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
No offence naliheshimu jeshi letu. Lakin kwa hili walikurupuka vilivyo.
Hakuna cha wanachi.. wala mdudu gani.

Barua tu ilikosewa.. means hawakuwa serious.
 
Isije ikawa ni fake. Maana amri katoa Sirro usitishaji atamke Mambosasa. Hii imekaaje?

Itakuwa ni fake
People are missing some points here. Hii barua ya Mambosasa ya kutengua ni barua inayotengua barua ya Mkuu wa Upelelezi kanda ya Dar es salaam kamanda C. M. Wambura, iliyomtaka Lissu aripoti kanda maalumu Dar kujibu tuhuma zinazomkabili (sasa ni tuhuma alizifanya wapi, hilo ni swali lingine), maana lazima ziwe zimefanyika ndani ya kanda hiyo. Hii siyo usitishaji wa agizo la IGP Sirro kumtaka Lissu aripoti kwa RPC Klimanjaro. Ingawa hata ya IGP Sirro itakufa kifo cha asili (natural death), kwa sababu hakuna wa kutengua hii. IGP siyo rahisi akatengua kauli yake mwenyewe, kijeshi haiko hiyo.
 
[emoji2]
Jamani narudia tena Lissu sio Slaa, Lissu sio Lowasa Lissu sio Mbowe,
Nani asiyejua HILO?H
Hii kwa Kiswahili fasaha inaitwa "funika kombe mwanaharamu apite". Ni busara ya kawaida tu!
 
Kutoka Jikoni
Jana Lissu alikutana na wanaume wanaoishikilia Nchi. Tamko la Mambosasa ni matokeo baada ya kikao
 

Lisu anapaswa awe makini sana maana hii u turn ni haraka mno
 
Hili sio jambo la kufurahia hata kidogo.Kwa miaka mitano Polisi wameweza kufanya chochote watakacho bila kuhojiwa kokote na dhati ya moyo wangu inaniambia hii withdraw ni retreat.
Sidhani kama Polisi wanweza kurudi chini kiasi hiki hasa katika awamu hii "Too sweet to swallow"
Kwa TL hii ni yellow light,ikusaidie kutafakari na kama kuna mahali ulikosea urekebishe kwani baada ya Uchaguzi maisha yataendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…