Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Umeona eehh.Ni jambo jema!
Maendeleo hayana vyama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eehh.Ni jambo jema!
Maendeleo hayana vyama.
Amini amini nakwambia Lissu ndo Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020-2025Mkuu
Mkuu hii sio Misri wala Tunisia, hii ni Tanzania. Bado siku 25 tu.
mkuu wangehariri barua ungesema kawafundisha.
wameamua kuwa madogo ili kuepusha vurugu mnawazomea,lakini wote tunajua kwamba wakiamua kufanya ujinga huwa wanaufanya ujinga uliokomaa.
tufurahi maana amani ndicho kitu tunachoulizia.
Hakika mkuu,pale kwny michongo ya Mayanga inabidi kua napo makini sana.Petro ata Tembea yake ilionekana ni 'mwanafunzi wa Yesu'. Mpime mtu kwa anachokisema na kwa anachokisema...mwanzo mwisho! Usipime ukaishia katikati!
We si ndo walikutuma umpige risasi Lissu??? Tunakujua subiri tu tutakufundisha adabuIli ndio tatizo la jeshi polisi, unapo deal na mpuuzi na sababu zako za ustaarabu azielewi yeye akiamini unafanya ivyo kwa sababu ya Amsterdam wake sijui na international support aliyonayo you’re not sending the right message across kwa huyo mtu.
Haya wait and see, time will tell
Inahusika vipi! Wameamua kumchangia kwa pamoja."Kanda Maalum Ya Polisi Dar Es Salaam" inahusika vipi na uhalifu wa mkoa mwingine, swala la kosa aliloitiwa (Japo halijatajwa) Mh Tundu Lissu ni mkoa wa Mara na akatakiwa ku report Kilimanjaro. Mambosasa yanamhusu nini maswala ya mikoa mingine?.
Nchi yetu jeshi la polisi limekosa weredi kabisa, viongozi wanakurupuka na kujiamulia tu anachojisikia, hawajui "TERRITORIAL JURISDICTION/MAMLAKA YA KIENEO" yanakwenda vipi na yana nguvu gani kisheria na mipaka ya mamlaka hayo.
Mambosasa anatakiwa afanye kazi kulingana na "TERRITORIAL JURISDICTION" ya eneo lake, eneo lake na mamlaka aliopewa kisheria ni ya Kanda Maalum Ya Dar Es Salaam, hana mamlaka kisheria ya kuingilia maswala ya kikazi ya mikoa mingine. Aache kukurupuka kwani atalinajisi jeshi la polisi kuonekana halifuati sheria na mamlaka. Anapaswa arudishwe darasani na apelekwe kusoma upya sheria.
Barua ingekua imetokea "MAKAO MAKUU YA POLISI" raia tusingekua na pingamizi, na tungeiheshimu, kwasababu makao makuu ya polisi wana mamlaka ya mikoa yote kisheria. Ila barua inatoka "KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM". Kwa hilo watuache.
Acha lissu awanyooshe hawa vibwengo wenye vyeo vikubwa bila ya kuwa na elimu ya kukidhi matakwa ya kazi yao. Nchi inaendeshwa na kikundi cha watu wachache wanaojiamulia mambo bila kufuata sheria, wanatumia mamlaka na mabavu, ila sio sheria wala haki.
Au lasivyo wakiachiwa, kesho tutasikia Mhalifu amefanya kosa la Kubaka Morogoro halafu Jeshi La Polisi Mkoa Wa Kigoma limetoa barua ya kuachiliwa mara moja mhalifu huyo.
#KUFICHA AIBU, kesho utasikia Mambosasa anaongea na vyombo vya habari na kusema barua hio inayozunguka mitandaoni imeandikwa na watu "WASIOJULIKANA", wananchi tunaombwa tuipuuze.[emoji38][emoji16]
Hahahahahaha naona unauguza maumivu!! Huyo ndo Lissu the greatKtk hili hajashinda lissu! No airtime... hapewi mtu kiki!
Thubutu yenu!! Ccm jiandaeni tu kuwa wapinzani mwaka huuPolisi waachane na Lissu, tutamnyoosha wakati wa kupiga na kuhesabu kura
Jifariji tuu itachukua muda mrefu upinzani kuja kushika Dola.Mwaka huu ndo mwisho wa Ccm kutawala Tanzania. Mark my words
No offence naliheshimu jeshi letu. Lakin kwa hili walikurupuka vilivyo.Wananchi wenye busara wamewashauri polisi kuachana na Lisu kwakua uu uchaguzi amesha shindwa kwaiyo anatafuta pa kuangushia lawama.
People are missing some points here. Hii barua ya Mambosasa ya kutengua ni barua inayotengua barua ya Mkuu wa Upelelezi kanda ya Dar es salaam kamanda C. M. Wambura, iliyomtaka Lissu aripoti kanda maalumu Dar kujibu tuhuma zinazomkabili (sasa ni tuhuma alizifanya wapi, hilo ni swali lingine), maana lazima ziwe zimefanyika ndani ya kanda hiyo. Hii siyo usitishaji wa agizo la IGP Sirro kumtaka Lissu aripoti kwa RPC Klimanjaro. Ingawa hata ya IGP Sirro itakufa kifo cha asili (natural death), kwa sababu hakuna wa kutengua hii. IGP siyo rahisi akatengua kauli yake mwenyewe, kijeshi haiko hiyo.Isije ikawa ni fake. Maana amri katoa Sirro usitishaji atamke Mambosasa. Hii imekaaje?
Itakuwa ni fake
Nani asiyejua HILO?H[emoji2]
Jamani narudia tena Lissu sio Slaa, Lissu sio Lowasa Lissu sio Mbowe,
Mambosasa: Polisi tumesitisha kumuita Tundu Lissu, tunamtaka aendelee na Kampeni zake
Baada ya mgombea wa urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, kukataa kuitikia wito uliotolewa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, uliotolewa jana ukimtaka aripoti kituo cha Polisi Kilimanjaro.
Lissu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika kuwa ataendelea na ratiba zake ikiwemo kikao cha mabalozi kinachofanyika leo.
“Wito wa polisi sio barua ya kirafiki ni amri kisheria, wito huo unatakiwa kueleza kosa la mtuhumiwa barua hii haielezi kosa ninaloitiwa na imepelekwa kwa Mwenyekiti wa chama, huu sio wito wa polisi kwa mujibu wa sheria, nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi kesho” ameandika Lissu kupitia kaunti yake ya Twitter.
Kwa mujibu ya barua iliyotumwa kwa Mwenyekiti wake wa Chama, Freeman Mbowe, Lissu alitakiwa kuripoti polisi 02/10/2020 kwa ajili ya mahojiano kufuatia kauli na matamshi yake ambayo amekuwa akiyatoa kwenye mikutano yake ya kampeni dhidi ya maafisa wa polisi.
Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu: Wito wa Polisi siyo barua ya kirafiki, Nitaendelea na ratiba yangu ya kikao na mabalozi
Video ya maelezo ya kamanda wa kanda maalum Lazaro Mambosasa akithibitisha kusitisha wito wa kumtaka Tundu Lissu kuripoti kwa jeshi hilo kanda ya Dar es Salaam
Anaumia sana lakini hana namna.John, nini maoni yako ?!
Hivi jeshi la polisi likifanya timing likamchinja huyu "kobe" kunakua na faida gani kwa taifa?Kumchinja kobe kunataka timing bwashee!
Ataingia tu kwenye 18!

Haswaaa,nahisi si jambo la kushangiliaLisu anapaswa awe makini sana maana hii u turn ni haraka mno