Dar: Kijana mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

Dar: Kijana mbaroni kwa kumuua mama yake mzazi

Miaka 26 bado mzazi anamlisha n kumpelekea chakula chumbani,umri huo ni kulelewa wazazi ndio wanajitakia na kuleta matatizo kwenye jamii zetu...mimi 22 tu nko napambana n hom nlishahama
Yap! 22 yrs uko vizuri kijana wangu Hongera - Kazi iendelee.
 
Aidha, vitu mbalimbali vilivyokuwa vimeibiwa na wahalifu kwenye matukio mbalimbali ya uvunjaji vimekamatwa katika kituo cha Polisi Goba yakiwemo majenereta zaidi ya 25,vifaa mbalimbali vya ujenzi na mitungi ya gesi 10.
Vimekamatwa katika kituo cha Poilsi!!!! wenzangu mmepaelewa hapo!!!?
 
Back
Top Bottom