Lakini huyu kijana muonekano wake anazidi miaka 21, iko kati ya 25 hadi 27, ila pia lengo lao ni kutafuta celebrity pamoja na hiyo ndoa yao.Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.
Staged igizo sio hisia za kweli hizo.Ni mapenzi tuu...hamna cha ajabu hapa.
Kafinywa ndani huku kazungushwa na uno la frni bovu, kwa mwendo wa wavi waviAlivyokaa tu kwenye hizo picha anaonyesha kasokotwa, kapondwa akapikwa akiva vizuri kabisa.....[emoji3][emoji3]
Yaani kama ni igizo limetaradadi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kuna kabila ambalo ni , aarifu kwa umario eehMsianze kujumuisha vijana wa Dar muulizeni huyo ni kabila gani