Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.

Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.

Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.

Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake😊.

Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.

marioo.JPG

mario.JPG

mar.JPG
 
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.

Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.
Lakini huyu kijana muonekano wake anazidi miaka 21, iko kati ya 25 hadi 27, ila pia lengo lao ni kutafuta celebrity pamoja na hiyo ndoa yao.
 
wamama wa design hii ukute hapo yeye anataka kukunwa tu maana kwa umri huo mwingine ndio genye zinakua juu sasa usiombe muwe mnakaa kwenye nyumba mko wawili tu apo ndani ni kutembea uchi tu wakati mwingine kitu inasimamia ndani
 
Dah🤔🤔🤔

Nimebaki najiuliza kwa kuzingatia uumbaji wa Mungu kwa kutangulia kumuumba mwanaume, majukumu ya mke na mume na wakati Mungu akisema atakufanyia msaidizi wa kufanana nae hawa wanafanana kitu gani😥😥

Mwanzo 2:18-25​

"BWANA Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye."
 
Back
Top Bottom