Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,805
- 17,850
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.
Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.
Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake😊.
Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.