Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mbona umenisusa sasa kama unayajua hayoDhambi kubwa Sanaa..mengi mazuri yaliyo MEMA ya nchi, tunayapishanisha !!.
Dahhhh!!! Kwahiyo unashaurije tukiwa nanyi kwenye tujifiche fiche au?? Fanya kutusaidia ushauri tunaangamia kihisia mjue!!Kulala na kuamka na mwanamke yuleyule kila siku inachosha sana, unakuta anabadili chupi, sidilia muda wote mbele yako ile hamu polepole inapungua.
Hata huyo dada sidhani kama kweli amefikisha 49, muonekano wako upo kati ya 35 - 40Jamaa anaweza kuwa hata na 27 huyo af kaona haelewi elewi[emoji28][emoji2956][emoji1787] mabinti wa age yake wote wanataka mwanaume mwenye kazi na maisha mazuri!
Mchongo hamna kaona ale apple na veterani tu[emoji28]
Full ujinga to be precise.Hapo ni full love
Sote tu wakosaji ..ila mie ndo sina akili kabisaaaMbona umenisusa sasa kama unayajua hayo
Maneno yako hayo sio yanguSote tu wakosaji ..ila mie ndo sina akili kabisaaa
Inabidi nifix akili itulieeee haaaaaaaManeno yako hayo sio yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kapigwa juju na hilo li mothelii [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] upo wee?Dogo kaamua aanze kula old version then arudi kwenye dotcom version
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jinsi vibabu vinavyobeba masistaduu na ndivyo hivyo masela wameamua kupita na mabibi [emoji1787][emoji1787] ngoma droo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dogo anaenda kuichungulia amberruty ya veteran, pale atakapompiga mbuZi kagoma,
Then anakutana na grey hair kwenye papa la bi mdashi,
Dunia inaenda kasi sn.
Fanya upesi basiInabidi nifix akili itulieeee haaaaaaa
Twawatakia ndoa njema!Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.
Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.
Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.
Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake[emoji4].
Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.
Naaam naaaam !![emoji8]Fanya upesi basi
Hahahaha🤣🤣Picha inamuonesha ubongo wake unamnong'oneza kuwa "NJAA ZITUKUUA WE MBWA"
🤔🤔Hakuna Padri au Askofu Wa Katoliki atakayefungisha ndoa Ya kipuuzi kama hiyo.Pia hakuna Mchungaji au Askofu anayejielewa akafungisha hapo...Labda Wachungaji makanjanja wanaweza kufungisha ndoa hapo...!!
Anaweza kumfanya nyumba kubwa baadae, ataoa mke mdogo kwa ajili ya watoto.Sasa kijana wa miaka 21 anakwenda kuoa menopause hataki watoto?
Mjitahidi sana pale mnapovaa chupi na sidilia muwe mmejivika kanga vyema ili tusione tunda na maziwa muda wote hamu itakuwepo sasa ile kuiona muda wote inapunguza hisia zetu kwenu.Dahhhh!!! Kwahiyo unashaurije tukiwa nanyi kwenye tujifiche fiche au?? Fanya kutusaidia ushauri tunaangamia kihisia mjue!!
Asante sana 🙏 tutazingatia hili!Mjitahidi sana pale mnapovaa chupi na sidilia muwe mmejivika kanga vyema ili tusione tunda na maziwa muda wote hamu itakuwepo sasa ile kuiona muda wote inapunguza hisia zetu kwenu.