Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Dar: Kijana wa miaka 21 AJITOSA kumuoa Mama wa MIAKA 49, Wazazi wamtenga, KAFA KAOZA, atangaza tarehe ya Harusi

Vijana ACHENI Hangaika na hawa Waschana wadogo.


Wana mambo mengi vichwan!!!.


Kaschana kadogooo, alafu hata hakasali wala kuswali unategemea nn??


Bora umchukue Mwanamke aliyekua umri na akili....UKAPATE NDOA ISOKUA NA STRESS !!!.



Unabeba kaschana kana miaka 25 , kuja kutulia akili, maana yake umetumia miaka 10 ,kuvumilia, na kukatuliza, nakukafundisha mambo mengi....



ni waschana wachache , ndio utabahatika kuta wana akili kubwa, na wengi wao ni LAZIMA UKUTE NI ANA DINI NDANI YAKE !!!.


Lkn hizi Galz za kupenda bata kila uchwao, ubebane naye umuweke ndani??.
 
Kulala na kuamka na mwanamke yuleyule kila siku inachosha sana, unakuta anabadili chupi, sidilia muda wote mbele yako ile hamu polepole inapungua.
Dahhhh!!! Kwahiyo unashaurije tukiwa nanyi kwenye tujifiche fiche au?? Fanya kutusaidia ushauri tunaangamia kihisia mjue!!
 
Jamaa anaweza kuwa hata na 27 huyo af kaona haelewi elewi[emoji28][emoji2956][emoji1787] mabinti wa age yake wote wanataka mwanaume mwenye kazi na maisha mazuri!

Mchongo hamna kaona ale apple na veterani tu[emoji28]
Hata huyo dada sidhani kama kweli amefikisha 49, muonekano wako upo kati ya 35 - 40
 
Kwa kifupi tuu, walikutana kwenye daladala, mama alisahau nauli nyumbani, kijana akamlipia na ndio ukawa mwanzo wa uhusiano wao.

Aliyeanza kuvunja ukimya ni bi mdashi, kifupi mama alimtongoza kijana, kijana naye akajaa, mama alikuwa muislam lakini amebadili dini na kuwa mkristo ili kumfuata kijana.

Kijana kwa muonekano ni marioo, familia yake imemsusia kuhusu suala hilo.

Mama ana watoto 3, kijana naye anasema kwa kuwa amependa boga basi hana budi kupenda na maua yake[emoji4].

Harusi ni Jumapili hii tarehe 05/12/2021.




Twawatakia ndoa njema!
 
Dahhhh!!! Kwahiyo unashaurije tukiwa nanyi kwenye tujifiche fiche au?? Fanya kutusaidia ushauri tunaangamia kihisia mjue!!
Mjitahidi sana pale mnapovaa chupi na sidilia muwe mmejivika kanga vyema ili tusione tunda na maziwa muda wote hamu itakuwepo sasa ile kuiona muda wote inapunguza hisia zetu kwenu.
 
Back
Top Bottom