Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

Dar: Kiwanda cha Magodoro GSM, Chawaka Moto

sanction za konda boy zimezaa matunda
 
Tangu bi mkubwa aliposema tule kwa urefu wa kamba zetu ndo hadi haya yanatokea. Maana kila mmoja anapambana survival for fittest.
Enzi za jpm ujambazi ulikomeshwa licha ya wakosoaji wake kupotezwa au kubanwa kwa kesi za ajabu ajabu. Bashite anatamani yale makonteina yake ya enzi zile yangekuwa zama hizi angeupiga mwingi.
Wewe hujitambui watu wamejimilikisha viwanja mtoto wa dada ake pamoja na huyo magufuli
20220312_224420.jpg
20220312_224416.jpg
20220313_161946.jpg
20220313_161944.jpg

Makonda dodoma kajimilikisha viwanja na hayo makontena aliyachukua na hakulipa kodi yoyote
Tangu bi mkubwa aliposema tule kwa urefu wa kamba zetu ndo hadi haya yanatokea. Maana kila mmoja anapambana survival for fittest.
Enzi za jpm ujambazi ulikomeshwa licha ya wakosoaji wake kupotezwa au kubanwa kwa kesi za ajabu ajabu. Bashite anatamani yale makonteina yake ya enzi zile yangekuwa zama hizi angeupiga mwingi.
 
Haya magodoro sio mara ya kwanza kuungua. Hapa ni INSURANCE FRAUD inaendelea, hawa waarabu wataumalizia mifuko yetu ya bima na kuifilisi kabisa
 
Mkali wa hizo kazi wakati hana marynder? Siksi kafumua, mshika rimoti na prince kafumua. Kipenzi chake aliyewahishwa faster kuzimu kulinusuru taifa kwa maslahi mapana ya taifa walikuwa wanajifungia ndani magogon naye pia katifua
mkuu unachuki sana

ebu meza wembe huenda utakusaidia😄
 
Back
Top Bottom